Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi! Hamna cha wasiwasi, enzi hizi zishaenda na mwendazakeMh. Shabiby apewe ulinzi haraka...[emoji4]
Ni kuweka vinasaba na sio rangi, jibu la kalemani lilinitia mashaka sana kwanini alikimbilia haraka kusema mkataba wa kampuni hiyo umesitishwa? Kwanini sasa? Je alijua kuwa kweli ulikuwa ni wa kifisadi? Hii issue haijakaa sawa pia Shabby alisema ana majina ya wabunge waliopewa rushwa na huyo agent ili EWURA wampe kandarasi Agent huyo.Mbunge wa Gairo mh Shabiby amesema kuna kampuni inalipwa kati ya sh bilioni 5 hadi 7 kila mwezi kwa kazi ya kuweka rangi kwenye mafuta yanayotumika nchini.
Shabiby amesema fee hizo ni nyingi mno kulinganisha na kazi ndogo sana inayofanywa na kwamba kazi hiyo ingeweza kufanywa bure na TBS
Shabiby kasema kazi hiyo wamepewa kampuni binafsi ambayo inatupiga haswa.
Waziri wa nishati mh Kalemani alitoa taarifa kwamba mkataba wa kampuni hiyo ya kifisadi ulishasitishwa lakini mh Shabiby aliikataa taarifa hiyo na kusema hata jana aliiwaona watendaji wa kampuni hiyo wakiende!ea na kazi hiyo ya kitapeli
Source: ITV habari
Ramadhan Kareem!
Ramadhan kareem,umepotea sana umu jamvini.Tutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.
Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.
Siku hizi viongozi wa ngazi mbalimbali katika sekta mbalimbali wamekuwa na majibu rahisi kama:-Mbunge wa Gairo mh Shabiby amesema kuna kampuni inalipwa kati ya sh bilioni 5 hadi 7 kila mwezi kwa kazi ya kuweka rangi kwenye mafuta yanayotumika nchini.
Shabiby amesema fee hizo ni nyingi mno kulinganisha na kazi ndogo sana inayofanywa na kwamba kazi hiyo ingeweza kufanywa bure na TBS
Shabiby kasema kazi hiyo wamepewa kampuni binafsi ambayo inatupiga haswa.
Waziri wa nishati mh Kalemani alitoa taarifa kwamba mkataba wa kampuni hiyo ya kifisadi ulishasitishwa lakini mh Shabiby aliikataa taarifa hiyo na kusema hata jana aliiwaona watendaji wa kampuni hiyo wakiende!ea na kazi hiyo ya kitapeli
Source: ITV habari
Ramadhan Kareem!
KwakweliTutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.
Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.
Tumia akili we mlevi.Ufisadi wa kutisha wa Magufuli wazidi kuanikwa
Kama Shujaa wa Mazezeta angekuwepo asingeruhusu haya yaibuliwe
🙄🤔Tutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.
Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.
Na Ritz....Dada LIZABONI Yuko wapi?
Tuliambiwa mikataba ya kifisadi yote iliisha alipoingia JPM. KumbeeKafukua bonge la ufisadi bila ya shaka maisha yake yako hatarini.
bora hata ulikaa kimya, ubwabwaji wako wa kutetea dini badala ya kuwatetea watz wengi waliokuwa wanateswa na jiwe usingekuwa na faida.Tutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.
Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.
Bibi/Injinia faizafoxy SHIKAMOO.Tutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.
Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.