Mbunge Shabiby aibua ufisadi wa kutisha EWURA, Waziri wa Nishati Kalemani asema walishavunja mkataba na kampuni fisadi

Mbunge Shabiby aibua ufisadi wa kutisha EWURA, Waziri wa Nishati Kalemani asema walishavunja mkataba na kampuni fisadi

Mbunge wa Gairo mh Shabiby amesema kuna kampuni inalipwa kati ya sh bilioni 5 hadi 7 kila mwezi kwa kazi ya kuweka rangi kwenye mafuta yanayotumika nchini.

Shabiby amesema fee hizo ni nyingi mno kulinganisha na kazi ndogo sana inayofanywa na kwamba kazi hiyo ingeweza kufanywa bure na TBS
Shabiby kasema kazi hiyo wamepewa kampuni binafsi ambayo inatupiga haswa.

Waziri wa nishati mh Kalemani alitoa taarifa kwamba mkataba wa kampuni hiyo ya kifisadi ulishasitishwa lakini mh Shabiby aliikataa taarifa hiyo na kusema hata jana aliiwaona watendaji wa kampuni hiyo wakiende!ea na kazi hiyo ya kitapeli

Source: ITV habari

Ramadhan Kareem!
Ni kuweka vinasaba na sio rangi, jibu la kalemani lilinitia mashaka sana kwanini alikimbilia haraka kusema mkataba wa kampuni hiyo umesitishwa? Kwanini sasa? Je alijua kuwa kweli ulikuwa ni wa kifisadi? Hii issue haijakaa sawa pia Shabby alisema ana majina ya wabunge waliopewa rushwa na huyo agent ili EWURA wampe kandarasi Agent huyo.

Mbunge wa Gairo mh Shabiby amesema kuna kampuni inalipwa kati ya sh bilioni 5 hadi 7 kila mwezi kwa kazi ya kuweka rangi kwenye mafuta yanayotumika nchini.

Shabiby amesema fee hizo ni nyingi mno kulinganisha na kazi ndogo sana inayofanywa na kwamba kazi hiyo ingeweza kufanywa bure na TBS
Shabiby kasema kazi hiyo wamepewa kampuni binafsi ambayo inatupiga haswa.

Waziri wa nishati mh Kalemani alitoa taarifa kwamba mkataba wa kampuni hiyo ya kifisadi ulishasitishwa lakini mh Shabiby aliikataa taarifa hiyo na kusema hata jana aliiwaona watendaji wa kampuni hiyo wakiende!ea na kazi hiyo ya kitapeli

Source: ITV habari

Ramadhan Kareem!
Siku hizi viongozi wa ngazi mbalimbali katika sekta mbalimbali wamekuwa na majibu rahisi kama:-

"tumeshasitisha mkataba' Wakati bado
au
" tunalifanyia kazi haraka iwezekanavyo"

Mfano angalia issue ya vifurushi!

Jambo la ku "click" kwenye program zao linachukua mwezi!??

Inamaana mitandao ilisha delete mifumo yao ya zamani?

Na sababu ya kufanya hivyo ni mbili tu

1. Wanamjua anayenufaika/wananufaika na vitu Kama hivyo direct

2. Hawana uwezo wa kuzuia kitu Kama hicho kwasababu ya sheria zao ila wanaona aibu kusema hadharani

Kwenye hoja nzito na kinachosababisha majibu hayo ni either of the two:

Vifurushi kila siku ni matamko tuu
 
Kuweka rangi yaani PIGMENT ni jambo linamhusu TRA akishirikiana na EWURA,wizara ya fedha,wizara ya nishatii.
PIGMENT ni utambulisho wa mafuta ya nchi fulani.
Lakini kama bei ya PIGMENT imekuwa kubwa ni wazi kuna walakini.
 
Yaani wakati wewe unahaha kupata m. 1.5 ya ada ya mwanao kuna kijikampuni kinatia vimaji kwenye mafuta tu mwisho wa mwez mtu anakunja bi. 7 maa..nina zangu kweli maisha hayako sawa ila poa tu ngoja tuvuje jasho, kuna mambo yanatia hasira sana nchi hii, Nnatamani niwe Rais hata kwa masaa matatu tu maana ningefanya mambo baadae wangeniua
 
Tutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.

Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.
bora hata ulikaa kimya, ubwabwaji wako wa kutetea dini badala ya kuwatetea watz wengi waliokuwa wanateswa na jiwe usingekuwa na faida.
 
Back
Top Bottom