Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Status
Not open for further replies.
Kijana mwenye suti nyeusi na miwani ndio first born wake,na hicho kibinti kidogo ni mtoto wake wa pili.
 

Unamuonea huruma pekee kwa vile ni mbunge je na huyo mke wa bwana harusi mtarajiwa na watoto wake hawastahili kuonewa huruma na kufarijiwa???!
 
pole Vick kamata' kwa kukamatwa na kidume cha mutu.
 
Unamuonea huruma pekee kwa vile ni mbunge je na huyo mke wa bwans harusi mtarajiwa na watoto wake hawastahili kuonewa huruma na kufarijiwa???!
Inashangaza,aonewe huruma ailekuwa tayari kuvuruga ndoa ya mwenzie,ona hivyo vitoto vilivyo innocent,malipo ni hapa hapa Duniani,hili tukio liwe fundisho si kwake tu bali na kwa wale wote waliotayari kuumiza wenzao kwa ubinafsi wao.
 
Hakuna Faraja Ya Kiunafiki Hapo! Kwa Vile Yeye Ni Mbunge? Mbona Hautaki Kumpa Faraja Huyo Mama Na Wtt, Ambao Walikuwa Na Waendelea Kudhurumiwa Haki Zao, Kama Family!! Sasa Leo Tumpongeze Na Kumfariji Aliyetaka Na Aliyefanya Dhuruma? Eti Mwanamke Mwanaharakati!! Wakushukuriwa Ni Mungu, Kwa Kufichua Udhalimu Huo Mchafu!! Pia Kwa Family Nzima!! Pole Sanaa!!
 
daaah mapenzi hayana adabu hadi mbunge kaingizwa Choo cha kiume na mbaya zaidi chooni kakutana na undertaker
 
Kijana mwenye suti nyeusi na miwani ndio first born wake,na hicho kibinti kidogo ni mtoto wake wa pili.

hihiiii huyo ndio wa mkulu?????? kama kafanana na ridhwani tehe teheeee natania msinitoe macho:der::der::der::der::der::der::der::der::der:
 
Kwel mume wa mtu sumu

Mmmh...na hizi ID zetu za JF.......nikimuangalia Mh Ummy alivyoketi hapo pembeni nahisi kichwani anatamka/ameandika vivyo hivyo.....ila yeye atakuwa ameongeza neno shoga....."mume wa mtu sumu shoga".
 
Mmmh...na hizi ID zetu za JF.......nikimuangalia Mh Ummy alivyoketi hapo pembeni nahisi kichwani anatamka/ameandika vivyo hivyo.....ila yeye atakuwa ameongeza neno shoga....."mume wa mtu sumu shoga".

Hahaaaa mkuu umenifanya niongeze siku kwa kucheka asubuh
 
Unampa pole mwizi kisa amekamatwa!!! Na aliyeibiwa je, apewe nini.
 
huyu jamaa nimemfahamu kipindi anafanya kazi sasatel miaka ya 2009.

alikua meneja kitengo cha customer care...

ni mtu mmoja mjanja mjanja sana na muongo wa kile anachokizungumza,anapenda sifa na ana sura ya kulazimisha ukubali anachokwambia.....kwa sasa sifahamu anafanyia wapi kazi japo nimepata tetesi yupo tiGo.

aliwahi kutengeneza madai ya kuumwa sana akiwa sasatel (ugonjwa kapuni) na kudai anatakiwa akatibiwe India...wengi walichanga na inasemekana alikwenda lakini ilikua janja ya nyani....

kwa yaliyotokea kwa asilimia kubwa aliyajua before ila ni mtu asiejali.......kwa kifupi ni mtu wa habari za mujini na m-kitonga hasa!!!

wengine watajazia!!
 
Saaaafi kabisa!wera weraweraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…