Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taratibu naanza kuingiwa na wasiwasi mwingi, yale makuzi na utamaduni wetu wa kujaaliana na kufarijiana umeishia wapi? Tukiweka mbali mambo ya vyeo, Vicky Kamata ni Mwanamke/Mwanadada kama walivyo wapenzi, madada zetu wengi wenye kupata maumivu extras kwenye medani ya kimapenzi na mahusiano! itoshe kusema Vicky anastahili Pole nyingi na faraja nyingi kutoka kwa Jamii ya kitanzania kwa nafasi yake kama Mwanamama mwanaharakati wa haki za wanawake na pia kiongozi wa watu wake...Pole sana Dada Vicky, pole sana Mama mzazi wa Vicky kwa uchungu wa Mwana anaujua mzazi...Tujitahidi kuwa na staha kwenye majanga Jamani! Sisi ni Watanzania tu, ID yetu haitabadilika hata siku moja! Makuzi yetu, hayakutufunza haya ya kuzodoana na kusherehekea matatizo ya wenzetu ...
Inashangaza,aonewe huruma ailekuwa tayari kuvuruga ndoa ya mwenzie,ona hivyo vitoto vilivyo innocent,malipo ni hapa hapa Duniani,hili tukio liwe fundisho si kwake tu bali na kwa wale wote waliotayari kuumiza wenzao kwa ubinafsi wao.Unamuonea huruma pekee kwa vile ni mbunge je na huyo mke wa bwans harusi mtarajiwa na watoto wake hawastahili kuonewa huruma na kufarijiwa???!
Kijana mwenye suti nyeusi na miwani ndio first born wake,na hicho kibinti kidogo ni mtoto wake wa pili.
Kwel mume wa mtu sumu
Mmmh...na hizi ID zetu za JF.......nikimuangalia Mh Ummy alivyoketi hapo pembeni nahisi kichwani anatamka/ameandika vivyo hivyo.....ila yeye atakuwa ameongeza neno shoga....."mume wa mtu sumu shoga".
bwana harusi hajaja kumsalimia mgonjwa?..
we tu una hali hyo vicky jeeee
Kwa mujibu wa taarifa za Global harusi hii haitakuwepo tena. 👰[/QUOTV
Vicky kamata? Anaolewa na nan??
Duuuuu mwenzetu upo nyuma. Yani hata magazeti hununui na bando pia? Hii kitu ipo since last week!!
huyu jamaa nimemfahamu kipindi anafanya kazi sasatel miaka ya 2009.
alikua meneja kitengo cha customer care...
ni mtu mmoja mjanja mjanja sana na muongo wa kile anachokizungumza,anapenda sifa na ana sura ya kulazimisha ukubali anachokwambia.....kwa sasa sifahamu anafanyia wapi kazi japo nimepata tetesi yupo tiGo.
aliwahi kutengeneza madai ya kuumwa sana akiwa sasatel (ugonjwa kapuni) na kudai anatakiwa akatibiwe India...wengi walichanga na inasemekana alikwenda lakini ilikua janja ya nyani....
kwa yaliyotokea kwa asilimia kubwa aliyajua before ila ni mtu asiejali.......kwa kifupi ni mtu wa habari za mujini na m-kitonga hasa!!!
wengine watajazia!!
ngoja niweke kigoda hapa kupata umbea.