Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Kitaalam uongoz wa aina huu unaitwa oligarchy, viongozi wanateteana wakiwaacha wananchi mkitaabika.CcM acheni upuuzi
View attachment 2593046
Utasikia amebadilishwaKitaalam uongoz wa aina huu unaitwa oligarchy, viongozi wanateteana wakiwaacha wananchi mkitaabika.
Ukiangalia kwa kina hawa ni family line kwenye vyeo. Hawajawahi kunusa dhiki ya maisha
Wanywe walewe then wafyatiliwe fidio km ile inayotrend Kinya, hicho ndo anatakakabisa yani anaacha kujadili mambo ya msingi anaongelea club mambo yaliyopitwa na wakati,siku hizi tekinologia imekuwa sio kama zamani mamba ya kukutna sehemu for what?
yani halafu anasema viongozi wenzio wanakubeba na hautosikia kokote yani ni ujinga mtupuWanywe walewe then wafyatiliwe fidio km ile inayotrend Kinya, hicho ndo anataka
Nafikiri anachoongea kuna wengine akina mama na baba bungeni hupenda kuwinda viongozi high level wawatongoze au watongozwe naohuyu mama hana akili
halafu hata hizo club za zamani anazotolea mfano zilikuwa na malengo maalum kwa ustawi wa Taifa sasa yeye anazungumzia kulewa kuanguka na kuokotwa na viongozi wenzio imagine 😀Nafikiri anachoongea kuna wengine akina mama na baba bungeni hupenda kuwinda viongozi high level wawatongoze au watongozwe nao
Wamegundua hawawezi kuwapata kirahisi kama hakutakuwa na clubs za pombe za viongozi tu
Huko baa mitaani wanakoenda wamejikuta hawawaoni wanakutana na low.profile tu wawe wanawake au wanaume
Kwa niaba ya wanawake wenzie na wanaume wakware bungeni wawinda viongozi high profile kutongoza ndio kawakilisha hilo ombi
Mtu kama anajiheshimu popote akienda hawezi ku misbehave
Kazi ya serikali sio kuanzisha bar na grocery au club za pombe kwa kisingizio chochote kiwe leaders club or whatever na kuajiri baa maids