Nafikiri anachoongea kuna wengine akina mama na baba bungeni hupenda kuwinda viongozi high level wawatongoze au watongozwe nao
Wamegundua hawawezi kuwapata kirahisi kama hakutakuwa na clubs za pombe za viongozi tu
Huko baa mitaani wanakoenda wamejikuta hawawaoni wanakutana na low.profile tu wawe wanawake au wanaume
Kwa niaba ya wanawake wenzie na wanaume wakware bungeni wawinda viongozi high profile kutongoza ndio kawakilisha hilo ombi
Mtu kama anajiheshimu popote akienda hawezi ku misbehave
Kazi ya serikali sio kuanzisha bar na grocery au club za pombe kwa kisingizio chochote kiwe leaders club or whatever na kuajiri baa maids