Mbunge wa CCM badala ya kujadili kero za ugumu wa maisha, anashauri Mawaziri wajengewe sehemu za starehe. Hii ni aibu

Mbunge wa CCM badala ya kujadili kero za ugumu wa maisha, anashauri Mawaziri wajengewe sehemu za starehe. Hii ni aibu

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Janejelly James ameishauri Serikali kuandaa eneo maalumu la viongozi kupumzika baada ya kazi akidai kuwa hivi sasa hali imebadilika kwa kuwa viongozi wameondolewa raha ya faragha na kusababaisha waonekane hawana maadili.

Wanywe walewe then wafyatiliwe fidio km ile inayotrend Kinya, hicho ndo anataka
yani halafu anasema viongozi wenzio wanakubeba na hautosikia kokote yani ni ujinga mtupu

badala ya kuzungumzia shida za wananchi wake atokako maana zipo kama maji,barabara,shule,umeme,umasikini yeye analeta habari za viongozi kukutana club kwani huko bungeni si wanakutana au anataka nini huyu mama jamani
 
Kiongozi ni mwananchi kama mwingine, hizo ni fikra za zamani kujiona ni tofauti, yaani ubaguzi.
Kama anataka kujitofautisha, atumie pesa yake.
Utajiri hutenga watu automatically.
 
huyu mama hana akili
Nafikiri anachoongea kuna wengine akina mama na baba bungeni hupenda kuwinda viongozi high level wawatongoze au watongozwe nao

Wamegundua hawawezi kuwapata kirahisi kama hakutakuwa na clubs za pombe za viongozi tu

Huko baa mitaani wanakoenda wamejikuta hawawaoni wanakutana na low.profile tu wawe wanawake au wanaume

Kwa niaba ya wanawake wenzie na wanaume wakware bungeni wawinda viongozi high profile kutongoza ndio kawakilisha hilo ombi

Mtu kama anajiheshimu popote akienda hawezi ku misbehave

Kazi ya serikali sio kuanzisha bar na grocery au club za pombe kwa kisingizio chochote kiwe leaders club or whatever na kuajiri baa maids
 
halafu hata hizo club za zamani anazotolea mfano zilikuwa na malengo maalum kwa ustawi wa Taifa sasa yeye anazungumzia kulewa kuanguka na kuokotwa na viongozi wenzio imagine 😀

huko kutajaa mambo ya kutongozana tu
 
Sehemu za kujadili upigaji
Eti akinywa moja baridi
Katumwa huyo awasemee
 
Back
Top Bottom