Mbunge wa CCM badala ya kujadili kero za ugumu wa maisha, anashauri Mawaziri wajengewe sehemu za starehe. Hii ni aibu

halafu hata hizo club za zamani anazotolea mfano zilikuwa na malengo maalum kwa ustawi wa Taifa sasa yeye anazungumzia kulewa kuanguka na kuokotwa na viongozi wenzio imagine 😀

huko kutajaa mambo ya kutongozana tu
Anaongea Kuwa akianguka aokotwe ina maana anapenda kuanguka anguka au kuangushwa chini pombe akileweshwa nini
Wanaume mnaelewa alichoongea vizuri
 
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Janejelly James ameishauri Serikali kuandaa eneo maalumu la viongozi kupumzika baada ya kazi akidai kuwa hivi sasa hali imebadilika kwa kuwa viongozi wameondolewa raha ya faragha na kusababaisha waonekane hawana maadili.

View attachment 2593046
Wananifanya tuichukie CCM, tuichukie serkali eti waziri anapelekewa document bar ,mamake zake yule mama, anaitwa nani vile

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yani halafu anasema viongozi wenzio wanakubeba na hautosikia kokote yani ni ujinga mtupu

badala ya kuzungumzia shida za wananchi wake atokako maana zipo kama maji,barabara,shule,umeme,umasikini yeye analeta habari za viongozi kukutana club kwani huko bungeni si wanakutana au anataka nini huyu mama jamani
Mkuu, kazi ya Bunge ni kuisimamia, kuishauri na kutunga Sheria. Bunge hili linaonekana sio la kuwatetea Wananchi, Bunge la siku hizi linashindwa kabisa kutetea wananchi. Ebu fikiria, leo tembo wanasumbua karibu sehemu nyingi za Nchi; wanaua, wanakula na kuharibu mazao ya wakulima. Wakulima wakihoji, wanaambiwa wapo kwenye maeneo yao, hivyo hawastahali fidia. Sasa unajiuliza, kwanini Serikali ina vitambua hivyo vijiji na kukusanya kodi? Tembo akiuwawa na mkulima aliyekuwa analinda mazao yake yasiliwe na tembo anafungwa na faini juu. Ila mkulima mazao yake yakiliwa ama kuharibiwa na tembo hapati fidia, kwanini lakini? Enyi Wabunge, huyu mkulima wa kijini hana kazi ingine zaidi ya hiyo eka moja inayoliwa na tembao, Nyie wengi wenu, pamoja na kazi ya ubunge uliyo nayo, ni wakuliwa wakubwa pia, hivyo hata tembo akila mazao yenu bado mna ujira wa ubunge. Wateteeni wapiga kura wenu.
 
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Janejelly James ameishauri Serikali kuandaa eneo maalumu la viongozi kupumzika baada ya kazi akidai kuwa hivi sasa hali imebadilika kwa kuwa viongozi wameondolewa raha ya faragha na kusababaisha waonekane hawana maadili.

View attachment 2593046
Aliewapa huo ubunge alitukosea san watanzania!!
 
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Janejelly James ameishauri Serikali kuandaa eneo maalumu la viongozi kupumzika baada ya kazi akidai kuwa hivi sasa hali imebadilika kwa kuwa viongozi wameondolewa raha ya faragha na kusababaisha waonekane hawana maadili.

View attachment 2593046
Huyu mama ukimuuliza maswali ya kushtukiza kuhusu GDP anaweza zimia. Pia ukimuuliza ni kwa nini yuko bungeni hajui wala aliingiaje huko hajui vile vile hajui kama ni kweli hajui.
 
yani halafu anasema viongozi wenzio wanakubeba na hautosikia kokote yani ni ujinga mtupu

badala ya kuzungumzia shida za wananchi wake atokako maana zipo kama maji,barabara,shule,umeme,umasikini yeye analeta habari za viongozi kukutana club kwani huko bungeni si wanakutana au anataka nini huyu mama jamani
Mama anapenda sana kubebwa!
Kwa kauli hizo vita vya ushoga vitashindwa!
 
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Janejelly James ameishauri Serikali kuandaa eneo maalumu la viongozi kupumzika baada ya kazi akidai kuwa hivi sasa hali imebadilika kwa kuwa viongozi wameondolewa raha ya faragha na kusababaisha waonekane hawana maadili.

View attachment 2593046
Huyu hamnazo kabisaaaaaa
 
Ina maana vitu vya msingi kwa maslai ya taifa vimekosekana kujadillwa huko bungeni?
 
Hata mimi nimeshangaa sana sijui hata huo ubunge ameupataje au sijui huko kwenye faragha na kwa vile uchaguzi unakaribia naona anataka wajengewe casino kabisa humo ni mitungi na mikasi tu na kisha anazawadiwa ubunge.
 
Back
Top Bottom