YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Anaongea Kuwa akianguka aokotwe ina maana anapenda kuanguka anguka au kuangushwa chini pombe akileweshwa ninihalafu hata hizo club za zamani anazotolea mfano zilikuwa na malengo maalum kwa ustawi wa Taifa sasa yeye anazungumzia kulewa kuanguka na kuokotwa na viongozi wenzio imagine 😀
huko kutajaa mambo ya kutongozana tu
Wanaume mnaelewa alichoongea vizuri