Mbunge wa CCM (Tabora) amdhalilisha mkewe hadharani

tukiachana na yote ya kisiasa kama mwanaume nipo upande wa mbunge huyo mwanamke jeuri sana,
na ndio tatizo lilipo angekua wise mother angetuliza yaishe kikubwa haya magumegume jau sana kurekodi kutafuta huruma,
hapo utakuta mwamba alikua silent hilo likaanza payuka na majirani washajua kitambo matatizo yao kabla hata mwamba hajatimba hapo

anyway watu hudhani wabunge wana pesaaaaa kumbuka kadri unavyopata vyeo na pesa majukumu huongezeka maana unajikuta wanao kutegemea wengi maana ndie uliyetoboa angalau kwenye family!
 
Bila kusahau lazima mbunge awe na machawa wake kila Kata wote hawa lazima uwape posho.
 
Mzee haya mambo ya migogoro ya kifamilia huwa si wish kabisa niyapitie ila kwenye maisha huwezi jua nini utakachoktana nacho mbele.
 
Intermittent explosive disorder !! Hayo ni maradhi atafute matibabu !!
 
Mambo binafsi hayo hayatuhusu. Pia, iwe fundisho Kwa dada zetu kutoshobokea vya bure
 
Imevunja miiko ya uongozi
 
Ndio sampuli hii asimame na DP world kujadili terms za mkataba na akatunge sheria mjengoni????
 

Kutofautiana ni jambo la kawaida, ila kukosa utulivu, ustahimilivu na Subra miongoni mwa wanafamilia kuna weza sababisha kujidhalilisha na kudhalilisha wasiohusika na kujikuta unaaibika mwenyewe vibaya sana na kukosa heshima miongoni mwa Jamii.
 

Mghhh!noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…