Sijui kwanini watu wanalewa madaraka kijinga hivi, hata kama mwanamke kakukera kiasi Gani huwezi kumtusi Tena unamtukania Hadi Mama yake Mzazi.
Halafu huyu ndio unataka awe Kiongozi wa kupigania haki, kweli? CCM mnatukosea sana.
Kutofautiana sio dhambi ila Kuna namna ya ku-handle issues especially unapokua Kiongozi
View attachment 2679988
Siwajui wote hao, lakini hili ninaweza sema.
Wanawake ni watu wa strategy sana, anaweza pangilia mazingira yampe matokeo atakayo. Ukitazama, hiyo ni video fupi sanaa, na imechukuliwa kwa mbinu baada ya kutengeneza mazingira ya kupata atakacho.
Jamaa anaonekan yupo na hasira na yaonekane amewekewa mtego na kupewa hasira ili atoe mwitikio huo alio toa. Ni mkewe, so ana muelewe mumewe nini nikifanya anatibuka kisha nipate cha kumvurugia vizuri mtandaoni.
Kauli za jamaa, ".... haiwezekan mnieleee maaskari kila siku .." hiii kauli yaweza kuwa ina kitu kinaendelea, as huyo mdada anataka ku take advantage ya uanamke wake na kucheza na system, regardless yanayo endeleea.
Ni wazi kuwa jamaa alijua ana recordiwa, lakini hakujali, means hiii ni kiwango cha mwisho kabisa cha fanya unalotaka nitabeba lolote lijalo kama matokeo.
Mwanamke alijua kuwa ameonwa ana recordiwa na simu yaonekana kaishika wazi pasi na kificho, hakuogopa matokeo ya hasira ya jamaa, yaonekana mwamba sio violence wa kuchezesha makofi na vipigo. Ni mama zetu but wanasilaha zao za maneno na ku provoke.
Lengo la video ni kudhalilisha na kuchafua tu na amevizia jamaa kajikaanga na mafuta yake kwa kuzama ktk mtego wa kujazwa upepo na akajaa. Utasikia anatoa utambulisho, " .. huyu ni mbunge wa Tabora, blah blah..."
Yamkini mwanamam anaanda mazingira ya talaka ikubaliwe ili wapasue mali ktk mgawanyo.
Wanawake ni wajanja sanaaaa.