peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Hii shule ipo wapi? 🤣Angalieni hii video!
Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho.
CC: Prof Adolf Mkenda
Wilaya ya Kondoa iliyopo mkoa ambao ni Makao Makuu ya nchi,na RC wake ni Bi Rose SenyemuleHii shule ipo wapi? 🤣
Huku ni Tanganyika, wilaya ya Kondoa,Mkoa wa Dodoma,Makao Makuu ya nchi.Siamini kama Zanzibar wana shule kama hii.
Wenzetu Zanzibar shule zao wameboresha sana majengo.Huku ni Tanganyika, wilaya ya Kondoa,Mkoa wa Dodoma,Makao Makuu ya nchi.
Uchaguzi upi mkuu ,tuanzie hapa kwanzaAngalieni hii video!
Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho.
CC: Prof Adolf Mkenda
Kwakuwa watoto wao hawasomi humoAngalieni hii video!
Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho.
CC: Prof Adolf Mkenda
Mbunge wao ni waziri wa mifugo Ashatu Kijaji..shame on you waziriKwakuwa watoto wao hawasomi humo
UponjoroHii shule ipo wapi? 🤣
mbona haina ubao kuonesha jina la shuke na ipo wilaya ipiAngalieni hii video!
Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho.
CC: Prof Adolf Mkenda
Mama! Mama! mama ! Hatukudai sisi wilaya ya KondoaMbunge wao ni waziri wa mifugo Ashatu Kijaji..shame on you waziri
Rombo imerudi nyuma sn baada ya kuwa chini ya CCMAngalieni hii video!
Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho.
CC: Prof Adolf Mkenda
Ifike wakati wananchi tuamke tupate hata wabunge wa kujitolea tu, hawa wa kulipwa ni nuxiMbunge wao ni waziri wa mifugo Ashatu Kijaji..shame on you waziri
Huyo Mbunge anakusanya kodi? unajua kweli majukumu ya Mbunge?Angalieni hii video!
Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho.
CC: Prof Adolf Mkenda
Wilaya ya Kondoa iliyopo mkoa ambao ni Makao Makuu ya nchi,na RC wake ni Bi Rose Senyemule
Kwani kazi ya Wabunge ni ipi? Kujenga Mashure? Vipi huyo Mbunge kama akaamua kujenga kwa pesa yake then pale Bungeni akawa anaunga mkono miswaada yote kandamizi inayo sababisha umasikini mtasemaje?Ifike wakati wananchi tuamke tupate hata wabunge wa kujitolea tu, hawa wa kulipwa ni nuxi