Hii nchi ni kubwa sana, and not everywhere accessible! Wenyeji ndio watu wa kwanza wanaotakiwa kushitushwa na hiyo hali na wala si mwingine! Na ni wenyeji gani basi wanaotakiwa kushituka mwanzoni zaidi ya mbunge na diwani wake? Moja ya majukumu ya mbunge ni kufahamu changamoto za jimboni kwake! Sasa kama wewe Mbunge na diwani wa eneo husika hufahamu ama hujali situation kama hiyo, ndo unategemea ajali DED ambae ni mpita njia tu?
Vituo vya kupigia kura vinafika kwote mzee ,
Mgawanyo wa rasilimali unapaswa uende kwa mtawanyo kama ambavyo ukusanyaji mapqto huenda kwa mtawanyo.
Don't tell me kuwa mamlaka za serikali hazijafika huko kwama hamna myendqji, hamna watu wa halmashauri wa kukusnya kodi magetini au vinginevyo.
Lakini pia kuna ma afisa Elim kata, Tarafa, wilayq , mkoa. Wote wanaowajib wa kuzifaham shule zao zote na wanazifaham vizuri kabisa.
RUZUKU ya serikali hupelekwa pia kwenye kila shule kulingana na mahitaji sawa na watu wa ugavi na ununuzi walivyo pita na kuwasiliana na mkuu wa shule .
Ivi sjui nna data kiasi gani hum kichwani ...
Ivi mwenyekiti wa kijiji yupo ?
Diwani yupo. ?
Mbunge ndo kabisaaa nauliza yupo ??
Wathibiti ubotmra je wanaopita kukagua ubira na mwenendo wa kazi Wapo ?...
Mkuu wa wilqyq na mkoa wapo ?
Afisa mipango na maendeeo wa jamii kijiji yupo. ?
Dawati la jinsia kwa watoto wadogo wa kike wanaokulisha ninihiu zao chini hapo wanaposoma wapo ???
WE JAMA NTAKUCHAPQ KIBAO MIMI.