Mbunge wa CCM wa Jimbo lililoko shule hii ,ninaomba Kamati Kuu ya CCM Taifa isimpitishe kugombea ubunge 2025-2030

Mbunge wa CCM wa Jimbo lililoko shule hii ,ninaomba Kamati Kuu ya CCM Taifa isimpitishe kugombea ubunge 2025-2030

Ndio Hawa wanaokulana kwenye korido za bunge watafanya nini
Mkuu anakusanya kodi? Vipi akaamua kujenga kwa pesa zake, ila akawa anaunga mkono miswaada upte mibaya pale Bungeni, na hiki ndicho wabunge asilimia 99 wanafanya.

Nyie bado mna mentality za kijima sana, ndio maana wabunge wanapitisha miswaada mibaa sana Bungeni na baadae hukimbilia jimbonia na misaada ya Bati, cement, nondo na Magari ya Wagonjwa.

Huu ijinga mtaucha lini?
 
Watanzania asilimia 98 ni wajinga sana na kwa sababu ya hii Wabunge walisha wasoma.

Pale Dodoma Wabunge hupitidha kwa kaili moja miswaada mibovu sana na baadae hukimbilia majimboni kugawa pipi kama vile Bati cement, Nondo, na kadhalika. Wajinga humshangilia ilihali pale Dodoma kaunga mkono sera mbya sana kwao.

Huu ujinga sidhani kama utaisha
 
Kwani kazi ya Wabunge ni ipi? Kujenga Mashure? Vipi huyo Mbunge kama akaamua kujenga kwa pesa yake then pale Bungeni akawa anaunga mkono miswaada yote kandamizi inayo sababisha umasikini mtasemaje?

Ni lini mtaacha mentality za votu na kuanza kuwabana wabunge waje na sera nzuri za kuondoa umasikini?
Sijayatamka
Hayo ni ya kwako
 
1750768640184.png
 
Siyo kazi ya mbunge kujenga shule. Mbunge siyo mfadhili wa Jimbo na wala hana fungu la kujengea miundombinu ktk Jimbo.

Mambo ya maendeleo ktk Jimbo ni kazi ya serikali, na ndiyo maana kila mwaka bajeti inapangwa na kupitishwa bungeni.

Tudai reforms
 
Kwani kazi ya Wabunge ni ipi? Kujenga Mashure? Vipi huyo Mbunge kama akaamua kujenga kwa pesa yake then pale Bungeni akawa anaunga mkono miswaada yote kandamizi inayo sababisha umasikini mtasemaje?

Ni lini mtaacha mentality za votu na kuanza kuwabana wabunge waje na sera nzuri za kuondoa umasikini?

mimi ni kama na ningependa kukitetea chama lakini hapa sijakuelewa mze.

.kimsingi unachokipinga na unachokiunga mkono ni mawe na kokoto.
Au ni Ugali na uji.
Jua na mwanga.
What you are opposing and the other which you support are the same thing in different pictures.

Mbunge kama mwakilishi, anahusika na utunzi wa Sera bora, na pia wakatì sera zinendelea kutungwa anahusika kuhakikisha Sera zilizopo zinatufaidisha kwa usawa. (Anaisimamia serikali na anatunga Sera na miongozo)

Sasa kijiji hiki hakijapokea usawa wa aina yoyote wakati pia Sera zetu bado si rafiki.
 
Anywai Huko kondoa fisiemu kwao wanapenzi ya kudumu yaani ni kama vile pichu na kalio

Nilipita huko juzi nikitokea Arusha yaani kila tujumba tuna bendera ya chama chakavu, hao ndo mandndocha wa fisiemu
 
Siyo kazi ya mbunge kujenga shule. Mbunge siyo mfadhili wa Jimbo na wala hana fungu la kujengea miundombinu ktk Jimbo.

Mambo ya maendeleo ktk Jimbo ni kazi ya serikali, na ndiyo maana kila mwaka bajeti inapangwa na kupitishwa bungeni.

Tudai reforms
Yani Nastia aibu kuhisi kama wewe naye utakua kama mwenzangu.

Mbunge ndiyo msimamizi na mshauri wa serikali.

Usimamizi ni pamoja na kuhakikisha serikali inahudumia jimbo husika analoliwakilisha kulingana na mahitaji na uwezo.

Ushauri kwa serikali ni pamoja na kutunga sheria , sera na miongozo ya namna gan serikali ifanye.

Hapa mbunge hajaishauri serikali wala kuisimamia ktk kuhudumia jimbo lake.
Kijijini kwetu serikali imejenga Shuler kuuubwa ya ghorofa , ili tu kuwashawishi wazazi kupeleka watoto wao wa kike Shule, as watoto wa kiume at 90 percent ndiyo husoma na hupelekwq Shuler binafsi na nzuri kabisa.
 
Daah hapo angeweka harambee hata akiwa daslm kwa wanaotoka huo Mkoa angepata msaada kwa kusema yeye ana kiasi gani harafu mengine yaendelee ya kuomba bajeti ya Serikali sema ndio hivyo akiwa kwenye V8 hawezi kukumbuka vitu vya msingi.
 
Ushauri kwa serikali ni pamoja na kutunga sheria , sera na miongozo ya namna gan serikali ifanye.
Usivhokifahsmu ni kwamba kwa likatiba letu hili bovu Kuna mhimili umejivjimbia zaidi kuzidi mingine.

Hivyo huo mhimili unakandamiza na kidharau mingine. Mfano pikipiki na baiskeli za Samia zimetapakaa kila kona ya nchi hii. Unadhani ni bunge lilishauri zinunuliwe? Nadhani umenielewa.

Pik
 
Mbunge wao ni waziri wa mifugo Ashatu Kijaji..shame on you waziri
unakua mbunge halafu huangalii jimbo lako lina mapungufu gani ukianzia na elimu, afya na miundombinu
 
Back
Top Bottom