kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 20,360
- 13,465
Sasa kama wakisema mama wanamdai anawachamba wafanyeje?Angalieni hii video!
Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho.
CC: Prof Adolf Mkenda
Sasa kama wakisema mama wanamdai anawachamba wafanyeje?Angalieni hii video!
Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho.
CC: Prof Adolf Mkenda
NO REFORMS, NO ELECTION.Angalieni hii video!
Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho.
CC: Prof Adolf Mkenda
Usivhokifahsmu ni kwamba kwa likatiba letu hili bovu Kuna mhimili umejivjimbia zaidi kuzidi mingine.
Hivyo huo mhimili unakandamiza na kidharau mingine. Mfano pikipiki na baiskeli za Samia zimetapakaa kila kona ya nchi hii. Unadhani ni bunge lilishauri zinunuliwe? Nadhani umenielewa.
Pik
Tena ni aibu kubwaHadi aibu mkuu
Mkuu kumbuka wafanya biashara wanafanya hayo kwa sababu ya kulinda biashara zao kwa hiyo hayo yanafanyika kwa Hila ni mtego ili kulinda biashara zao.Well kama umeuliza ili kufahamu basi , hear me out nakujuza.
Baiskeli na pikipiki sio pesa za mama wala za serikali. Bali ni wafanya biashara wanachanga hela na kutia support ya kampong kwa mama.
Japo on my take walipaswa kuwa nanachanga na kufanya vitu vya maana like it used to be kwa magu,
But today things are different , (priotization imehamia kwenye kuyasaka madaraka na si kemwenye kuwahudumia wananchi )
Na nikwambie .. don't get me wrong , sipo hapa kutetea ushuzi wa mtu wala nini. I say things foe clarifications, education and as per my positive beliefs nikipendekeza vitu chanya kwa jamii yang ya ktanzania.
so namsema yeyote afanyate vibaya na humpongeza yoyote afanyate vyema
Ualimu kazi ngumu sana maana hapo unakuta mdada katoka Dar kaajiliwa kuja kufundisha hapoAngalieni hii video!
Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho.
CC: Prof Adolf Mkenda
Mkuu kumbuka wafanya biashara wanafanya hayo kwa sababu ya kulinda biashara zao kwa hiyo hayo yanafanyika kwa Hila ni mtego ili kulinda biashara zao.
Ivi uko serious kabisa na akili zako zako timamu kabisa kuuliza Diwali kama hilo? Unataka TRA ije ijenge hilo jengo? TRA ndio inajenga majengo ya serikali hapa Tanzania ?Huyo Mbunge anakusanya kodi? unajua kweli majukumu ya Mbunge?
Nakuelewa Ila muogope sana mtu anayefanya kitu kwa Hila. Baadaye atalaumiwa chambo wakati chambo siyo adui. Bali adui ni yule aliyetega kile chambo. Na ndicho wanachokifanya wafanyabiashara wengi nchi hii.Jayo ni mambo ya msingi ku observe,
Inapaswa tuwe tuna read btn the lines mze.
Wilaya ya Kondoa, mkoa wa Dodoma nchi ya Danganyika.Hii shule ipo wapi? 🤣
Mbunge wake ni kijaji Ashatu?Wilaya ya Kondoa iliyopo mkoa ambao ni Makao Makuu ya nchi,na RC wake ni Bi Rose Senyemule
Ni mwakilishi wa wananchi (wapi)?Mbunge kama mwakilishi, anahusika na utunzi wa Sera bora, na pia wakatì sera zinendelea kutungwa anahusika kuhakikisha Sera zilizopo zinatufaidisha kwa usawa. (Anaisimamia serikali na anatunga Sera na miongozo)
Mbunge wa huko ni waziri wa miaka mingi tu; katika wizara mbalimbali. Hata kama siyo kazi yake kusimamia/kuhimiza kazi za maendeleo jimboni kwake; nyadhifa tu alizo nazo zingemwezesha kupata wafadhili wa kusaidia kazi ndogo kama hii ya kujenga vyumba vya madarasa.Siyo kazi ya mbunge kujenga shule. Mbunge siyo mfadhili wa Jimbo na wala hana fungu la kujengea miundombinu ktk Jimbo.
Mambo ya maendeleo ktk Jimbo ni kazi ya serikali, na ndiyo maana kila mwaka bajeti inapangwa na kupitishwa bungeni.
Tudai reforms
Inasikitisha sana. Huyu mwanamke kumbe ni hovyo kiasi hiki?Mbunge wake ni kijaji Ashatu?
Iv unajitoa ufahamu?hela anayopewa mmbunge kuendeleza jimbo huwa anapeleka wapi..c ni pamoja na kushughulikia miundombinu ambayo kiuhalisia inakuwa hatarish kwa wapiga kura wake?Siyo kazi ya mbunge kujenga shule. Mbunge siyo mfadhili wa Jimbo na wala hana fungu la kujengea miundombinu ktk Jimbo.
Mambo ya maendeleo ktk Jimbo ni kazi ya serikali, na ndiyo maana kila mwaka bajeti inapangwa na kupitishwa bungeni.
Tudai reforms
Hii ni aibuuuuu sanaa wataenda v8 kama mia kujenga darasa 2 tuuuAngalieni hii video!
Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho.
CC: Prof Adolf Mkenda
Kwamba hiyo shule mahali iliko hakuna viongozi wa kata, tarafa, wilaya na mkoa?! Kwamba mbunge ndie ana mafungu ya pesa za maendeleo za eneo husika na aligoma kupeleka pesa kwenda kwenye hiyo shule? Kwamba mbunge akiongea au kuchangia bajeti kwa maandishi bungeni na kuiambia serikali kuhusu ubovu wa shule husika serikali inalazimika kusikiliza mara moja na kufanyia kazi maoni ya mbunge?!Angalieni hii video!
Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho.
CC: Prof Adolf Mkenda
Wapo wote ulio wataja,ila HAWAMDAI MAMA KABISAKwamba hiyo shule mahali iliko hakuna viongozi wa kata, tarafa, wilaya na mkoa?! Kwamba mbunge ndie ana mafungu ya pesa za maendeleo za eneo husika na aligoma kupeleka pesa kwenda kwenye hiyo shule? Kwamba mbunge akiongea au kuchangia bajeti kwa maandishi bungeni na kuiambia serikali kuhusu ubovu wa shule husika serikali inalazimika kusikiliza mara moja na kufanyia kazi maoni ya mbunge?!