BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Mkuu anakusanya kodi? Vipi akaamua kujenga kwa pesa zake, ila akawa anaunga mkono miswaada upte mibaya pale Bungeni, na hiki ndicho wabunge asilimia 99 wanafanya.Ndio Hawa wanaokulana kwenye korido za bunge watafanya nini
SijayatamkaKwani kazi ya Wabunge ni ipi? Kujenga Mashure? Vipi huyo Mbunge kama akaamua kujenga kwa pesa yake then pale Bungeni akawa anaunga mkono miswaada yote kandamizi inayo sababisha umasikini mtasemaje?
Ni lini mtaacha mentality za votu na kuanza kuwabana wabunge waje na sera nzuri za kuondoa umasikini?
😂Angalieni hii video!
Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho.
CC: Prof Adolf Mkenda
johnthebaptist 🤣Uponjoro
Achaneni nao hao wajinga, si walisema October wanatiki.Wilaya ya Kondoa iliyopo mkoa ambao ni Makao Makuu ya nchi,na RC wake ni Bi Rose Senyemule
Kwani kazi ya Wabunge ni ipi? Kujenga Mashure? Vipi huyo Mbunge kama akaamua kujenga kwa pesa yake then pale Bungeni akawa anaunga mkono miswaada yote kandamizi inayo sababisha umasikini mtasemaje?
Ni lini mtaacha mentality za votu na kuanza kuwabana wabunge waje na sera nzuri za kuondoa umasikini?
Yani Nastia aibu kuhisi kama wewe naye utakua kama mwenzangu.Siyo kazi ya mbunge kujenga shule. Mbunge siyo mfadhili wa Jimbo na wala hana fungu la kujengea miundombinu ktk Jimbo.
Mambo ya maendeleo ktk Jimbo ni kazi ya serikali, na ndiyo maana kila mwaka bajeti inapangwa na kupitishwa bungeni.
Tudai reforms
Kabisa mkuuRombo imerudi nyuma sn baada ya kuwa chini ya CCM
Hadi aibu mkuuKabisa mkuu
Usivhokifahsmu ni kwamba kwa likatiba letu hili bovu Kuna mhimili umejivjimbia zaidi kuzidi mingine.Ushauri kwa serikali ni pamoja na kutunga sheria , sera na miongozo ya namna gan serikali ifanye.
unakua mbunge halafu huangalii jimbo lako lina mapungufu gani ukianzia na elimu, afya na miundombinuMbunge wao ni waziri wa mifugo Ashatu Kijaji..shame on you waziri
Hatari hii, hapo unatakiwa uwe na wito kweli kweli ili uweze kufundisha kwenye hiyo shule.😅Angalieni hii video!
Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho.
CC: Prof Adolf Mkenda