Hii nchi ni kubwa sana, and not everywhere accessible! Wenyeji ndio watu wa kwanza wanaotakiwa kushitushwa na hiyo hali na wala si mwingine! Na ni wenyeji gani basi wanaotakiwa kushituka mwanzoni zaidi ya mbunge na diwani wake? Moja ya majukumu ya mbunge ni kufahamu changamoto za jimboni kwake! Sasa kama wewe Mbunge na diwani wa eneo husika hufahamu ama hujali situation kama hiyo, ndo unategemea ajali DED ambae ni mpita njia tu?Huyo Mbunge anakusanya kodi? unajua kweli majukumu ya Mbunge?
Kwani mwaka huu kuna UCHAGUZI ama UCHAFUZI!Angalieni hii video!
Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho.
CC: Prof Adolf Mkenda
Ni mwakilishi wa wananchi (wapi)?
Ni mmoja wa viongozi ndani ya jimbo. Viongozi wa kufanya nini?
Sioni namna ya kumvua lawama mbunge, ambaye mfano wa shule katikaa jimbo lake ni kma hiyo inayoonyeshwa kwenye picha.
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa; ni Kondoa ambako hivi karibuni viongozi wa CHADEMA walipata matatizo sana kufanya mikutano yao hivi karibuni.
Kama hilo halikupi sura sahihi ya wananchi wa jimbo hilo, sijui ni kipi kitakupa picha ya eneo hilo.
Mbunge wa huko ni waziri wa miaka mingi tu; katika wizara mbalimbali. Hata kama siyo kazi yake kusimamia/kuhimiza kazi za maendeleo jimboni kwake; nyadhifa tu alizo nazo zingemwezesha kupata wafadhili wa kusaidia kazi ndogo kama hii ya kujenga vyumba vya madarasa.
Huyo mama sasa namdharau sana!
Huo ni utalii, acha kuharibu, hiyo ni sehemu na chanzo ya mapato wazungu huja kushangaa 🎶🎶🎶Angalieni hii video!
Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho.
CC: Prof Adolf Mkenda
Hatari snTena ni aibu kubwa
Hizo zenu mnaziita shule bali wao wanaziita skuli.Umeona matata yalipoanzia?Wenzetu Zanzibar shule zao wameboresha sana majengo.
Na wana risiti ya kumchukulia fomu "mama".Wehu hadi mtondogoo!Na unakuta walimu wa shule kama hiyo ndo frontliner kwenye kuiba uchaguzi
Kwahiyo Kodi yako inafanya nn? Uliza uambiwe kazi ya fedha za mfuko wa Jimbo. Ule ulianzishwa kwa malengo ya kijinga lkn wananchi mkaambiwa mambo tofauti.Iv unajitoa ufahamu?hela anayopewa mmbunge kuendeleza jimbo huwa anapeleka wapi..c ni pamoja na kushughulikia miundombinu ambayo kiuhalisia inakuwa hatarish kwa wapiga kura wake?
Hii nchi ni kubwa sana, and not everywhere accessible! Wenyeji ndio watu wa kwanza wanaotakiwa kushitushwa na hiyo hali na wala si mwingine! Na ni wenyeji gani basi wanaotakiwa kushituka mwanzoni zaidi ya mbunge na diwani wake? Moja ya majukumu ya mbunge ni kufahamu changamoto za jimboni kwake! Sasa kama wewe Mbunge na diwani wa eneo husika hufahamu ama hujali situation kama hiyo, ndo unategemea ajali DED ambae ni mpita njia tu?
Hata wa Rungwe na Itigi asipewe kabisa!Angalieni hii video!
Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho.
CC: Prof Adolf Mkenda
Hizo zenu mnaziita shule bali wao wanaziita skuli.Umeona matata yalipoanzia?