Ndio ni muongoUna maana gani boss? Yaani unabase upande wa Kanyasu kwa lipi? Ulikuwepo Kahangalala wakati anaombewa msamaha na JPM? Msukuma anakubalika sana tena usiulize,ukifika Nzera yote. Hapa hoja ya msingi ,je Msukuma ni Muongo?
Yes, am sureAre you sure?
Ahaaa. Tusibiri majibu ya tume.Ndio ni muongo
Halmashauri ya Geita? Imeanza kazi lini? Mimi najua kuna mchakato wa kuanzisha halmashauri ya Nzera.
Halmashauri ya Geita? Imeanza kazi lini? Mimi najua kuna mchakato wa kuanzisha halmashauri ya Nzera.
😤😤😤Cheap politics.....siasa za kimaskini mbona viongozi wa madhehbu makubwa ya dini wa na ishi kwa ufahari wa ajabu hadi mavazi yao na makofia tu yamesheheni dhahabu
So unataka kusema Msukuma hana mandate ya kuhoji matumizi ya H/Geita mji?Mchakato uliopo ni kuanzisha wilaya nyingine ya Katoro/Busanda, maana imeonekana kuna maeneo wanalazimika kusafiri umbali mrefu kufika Nzera. Kwa mfano mtu anatoka Bukoli anapitia Geita mjini ndio aanze kuitafuta Nzera karibu km. 100 kutoka Bukoli.
Note, kuwa na halmashauri sio lazima iwe wilaya,Geita mji ni halmashauri sio wilaya.Mchakato uliopo ni kuanzisha wilaya nyingine ya Katoro/Busanda, maana imeonekana kuna maeneo wanalazimika kusafiri umbali mrefu kufika Nzera. Kwa mfano mtu anatoka Bukoli anapitia Geita mjini ndio aanze kuitafuta Nzera karibu km. 100 kutoka Bukoli.
Nimemsikiliza mbunge wa Geita mjini ndugu Costantine Kanyasu kwa kweli anashangaza sana. Nini kimemfanya akurupuke kuanza kutoa maoni kama haya kabla ya uchunguzi?
Nilimsikiliza waziri Jaffo alipopewa kazi yake ya kwanza kuunda tume kuchunguza ubadhilifu halimashauri ya Geita,alisema pesa mil 400 zilizotumika hazikupitishwa na baraza la madiwani.
Nashangaa nimemsikiliza mbunge wa Geita anaongea na media na kudai kuwa amepitia document hapo halmashauri na amebaini kuwa pesa hizo zilipitishwa na baraza la madiwani,pia anasisitiza Gpsa walitumiwa kununua hilo gari la mil 400,kwa hiyo taratibu zote zilifuatwa maana Gpsa ndie wakala wa manunuzi wa serikali.
Mbali na hayo anasema mkurugenzi aliyesimamishwa ni muadilifu na amekuwa akipambana na ufisadi kwa muda mrefu. Je ina maana Mbunge wa Geita vijijini ni muongo? Anaropoka hovyo na kumdanganya rais,maana huyu ndie aliyemlipua mkurugenzi kuwa alifanya ubadhirifu wa mil 400.
So unataka kusema Msukuma hana mandate ya kuhoji matumizi ya H/Geita mji?
Kimsingi wakurugenzi wote nchini, kipindi Baraza la madiwani lilipovunjwa walichukuwa nafasi kusaini mikataba tata ili waweze kupata chochote, kiukweli hamna ambae hana tuhuma hizo ila za huyo ndio zipo kwenye vyombo vya habari!Mbunge wa Geita mjini ni Kanyasu huyo Msukuma anajitia kimbelembele tu. Wala haingii kwenye vikao vya Halmaahauri ya Geita mji. Kwa hiyo Kanyasu asilaumiwe maana yeye ndiyo mwenye Jimbo hilo.
Mkuu ka Msukuma ni kaongo! Kanachonganisha wenzake! Kalitaka kumchomea utambi hata RPC kakakuta Mnyakyusa hababaishwi na ni mtu wa principles kakaufyata! Sasa kamemgeuka DED wakati kalishiriki kupitisha! Budget ya ununuzi wa gari!Una maana gani boss? Yaani unabase upande wa Kanyasu kwa lipi? Ulikuwepo Kahangalala wakati anaombewa msamaha na JPM? Msukuma anakubalika sana tena usiulize,ukifika Nzera yote. Hapa hoja ya msingi ,je Msukuma ni Muongo?
Jibu swali hana mandate?Anahoji kama mbunge lakini kwa nini asingewasiliana na mbunge wa eneo husika na yeye ndio akalisemea ? Huo ni ubabena kinyume na utawala bora.
Note, kuwa na halmashauri sio lazima iwe wilaya,Geita mji ni halmashauri sio wilaya.
🤣🤣🤣😃😄Mkuu ka Msukuma ni kaongo! Kanachonganisha wenzake! Kalitaka kumchomea utambi hata RPC kakakuta Mnyakyusa hababaishwi na ni mtu wa principles kakaufyata! Sasa kamemgeuka DED wakati kalishiriki kupitisha! Budget ya ununuzi wa gari!
Jibu swali hana mandate?