Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Mila zetu za kiafrika zinakataa kutenda hivyo! Maiti akishazikwa, unapitisha hata siku mbili au tatu, mila inakuruhusu kuifanya yaliyo ya muhimu sana kwa vile inakuwa bado ni msiba mbichi sana
Acheni kukurupuka. Mzee tumeshamzika Tosa na matanga tumemaliza. Familia iliwakilishwa na dada yake. Mkewe anauguza mtoto wao Nairobi, mtoto mwingine inasemekana yuko Magharibi ambako lockdown hairuhusu ndege kuruka. Mama Samia na Tulia walihudhuria na Lukuvi alikuwa msimamizi mkuu kwa amri ya raisi.
 
Team Kitila Mkumbo midomo yenu imewaponza.

Poleni.

Magu alishasema hapangiwi.
 
Nimeamini hapa Jf, tuna makachero wa kutosha ni jana tu Majina ya Mh,Mwigulu Nchemba na Mh, Mwakyembe yametajwa tajwa hapa na leo ngoma imetiki? Viva Jf
Jf ni watanzania Na wako ofisi mbalimbali.

Sasa kama hili lakushangaza na kuipa credit Jf... Unaonekana kilaza.
 
hivi uwaziri wenyewe si kwa miezi miwili tu au
 
Ndomana nikasema kwasasa mamlaka ni yake nikimaanisha kuwa anao uhuru kamili wa kumchagua yeyote anayeona anafaa lakini wakati utafika na wengine watakuja
 
Reactions: bea
Mwigulu akitumbuliwa kwa mbwembwe. naona leo amekuwa mzuri.
 
Hongera sana Dr. Mwigulu kwa iteuzi, We we ni Mzalendo, shupavu na mchapa kazi. Kila LA kheri katika Wizara, Watachonga sana juu yako, achana nao. Kachape kazi kwelikweli.

Anza na wosia wa Balozi Maiga, kupunguza msongamano mahabusu na magerezani kisha nyoosha mahakama ili utoaji haki kwa wakati uwezekane.

Team JPM tupo pamoja nawe, Mipasho mingi kukuhusu ni Hofu ya Weledi wako ktk kujenga hoja na kuelezea mambo mbalimbali.

Big up Brother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…