Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Mila zetu za kiafrika zinakataa kutenda hivyo! Maiti akishazikwa, unapitisha hata siku mbili au tatu, mila inakuruhusu kuifanya yaliyo ya muhimu sana kwa vile inakuwa bado ni msiba mbichi sana
Acheni kukurupuka. Mzee tumeshamzika Tosa na matanga tumemaliza. Familia iliwakilishwa na dada yake. Mkewe anauguza mtoto wao Nairobi, mtoto mwingine inasemekana yuko Magharibi ambako lockdown hairuhusu ndege kuruka. Mama Samia na Tulia walihudhuria na Lukuvi alikuwa msimamizi mkuu kwa amri ya raisi.
 
Team Kitila Mkumbo midomo yenu imewaponza.

Poleni.

Magu alishasema hapangiwi.
 
Huyu Mwigulu mzee angemuacha tu aje mtaani awe mjasiriamali, alitakiwa aje kuonyesha PHD yake namna inavyofanya kazi kama mfano kwa vijana walioko mtaani huku..

Vijana wengi wako bench huku, Mkuu angetusaidia kuibua vipaji vipya na huyu angemuacha tu maana tayari anamtaji wa hela na maarifa angeweza tu kujiajiri..
hivi uwaziri wenyewe si kwa miezi miwili tu au
 
Sihitaji kujikomba kwa mtu mimi. Wewe unaona huu uteuzi umezingatia maadili? Yani mtu kwa yale aliyoongea bungeni unampa uwaziri!

Rais Magufuli anafanya hivi ili kuwafanya watu wajitoe fahamu wakigombea kuteuliwa jambo ambalo ni hatari sana kufanywa na kiongozi wa nchi.
Ndomana nikasema kwasasa mamlaka ni yake nikimaanisha kuwa anao uhuru kamili wa kumchagua yeyote anayeona anafaa lakini wakati utafika na wengine watakuja
 
  • Thanks
Reactions: bea
Mwigulu akitumbuliwa kwa mbwembwe. naona leo amekuwa mzuri.
 
Hongera sana Dr. Mwigulu kwa iteuzi, We we ni Mzalendo, shupavu na mchapa kazi. Kila LA kheri katika Wizara, Watachonga sana juu yako, achana nao. Kachape kazi kwelikweli.

Anza na wosia wa Balozi Maiga, kupunguza msongamano mahabusu na magerezani kisha nyoosha mahakama ili utoaji haki kwa wakati uwezekane.

Team JPM tupo pamoja nawe, Mipasho mingi kukuhusu ni Hofu ya Weledi wako ktk kujenga hoja na kuelezea mambo mbalimbali.

Big up Brother
 
Back
Top Bottom