Acheni kukurupuka. Mzee tumeshamzika Tosa na matanga tumemaliza. Familia iliwakilishwa na dada yake. Mkewe anauguza mtoto wao Nairobi, mtoto mwingine inasemekana yuko Magharibi ambako lockdown hairuhusu ndege kuruka. Mama Samia na Tulia walihudhuria na Lukuvi alikuwa msimamizi mkuu kwa amri ya raisi.Mila zetu za kiafrika zinakataa kutenda hivyo! Maiti akishazikwa, unapitisha hata siku mbili au tatu, mila inakuruhusu kuifanya yaliyo ya muhimu sana kwa vile inakuwa bado ni msiba mbichi sana