Habari za leo wakuu.
Je, kama mtanzania unakuchukuliaje kutoka na kurudi kwa Mwingulu katika baraza la mawaziri?
Je, CCM haina hadhina ya viongozi mpaka waliotoka kwa kashifa wanarudishwa?
Je, alichofana mwanza kinasababisha kuondolewa alifanya bahati mbaya au alisingiziwa?
Je, mamlaka ya uteuzi imekosa maono?
Au kusifia na kukosoa tweet za zitto kwa kuziwekea Alama ya X Kumemuinua?
Nini hatima ya kitila mkumbo aliyemuita MWIGULU mjinga?
Mpaka hapo naona kuna watu wameingia kwenye copy yake amewabana mbavu je ni kweli tukubari kuwa yeye ni mamba kama anavyojisifu ?
Maswali tu hayo washikaji msijenge chuki.