Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Aisee! Hata mtumishi wake hajazikwa tayari kashateua! Hii haraka ya nini? Angesubiri siku tatu baada ya mazishi kungekuwa na shida?
 
Aisee! Hata mtumishi wake hajazikwa tayari kashateua! Hii haraka ya nini? Angesubiri siku tatu baada ya mazishi kungekuwa na shida?
 
Habari za leo wakuu.


Je, kama mtanzania unakuchukuliaje kutoka na kurudi kwa Mwingulu katika baraza la mawaziri?


Je, CCM haina hadhina ya viongozi mpaka waliotoka kwa kashifa wanarudishwa?


Je, alichofana mwanza kinasababisha kuondolewa alifanya bahati mbaya au alisingiziwa?

Je, mamlaka ya uteuzi imekosa maono?

Au kusifia na kukosoa tweet za zitto kwa kuziwekea Alama ya X Kumemuinua?

Nini hatima ya kitila mkumbo aliyemuita MWIGULU mjinga?

Mpaka hapo naona kuna watu wameingia kwenye copy yake amewabana mbavu je ni kweli tukubari kuwa yeye ni mamba kama anavyojisifu ?


Maswali tu hayo washikaji msijenge chuki.
 
Ni janja janja za joto la uchaguzi...
Screenshot_20200503-063850.jpg
Watamtumia then watamtosa tena...
 
Kitendo cha uteuzi kabla mtu hajazikwa si cha kitanzania kabisa huyo mteuzi ni kweli Mtanzania halisi
You have a point....hakukua na ulazima wa kutangaza mrithi wa wizara KABLA ya mazishi.
Kwa heshimaa ya balozi mahiga wangesubiri azikwe then ndio watangaze mrithi
WALIO Soma POLITICAL SCIENCE mnaweza kutusaidia LABDA Kuna maono ndani yake.
Ni Irrelevant kufananisha pia CHEO sio Mali ya mtu Ila...." Nikama kugombea au kugawana Mali ya marehemu KABLA hajazikwa"
Haileti picha nzuri kwa familia na NDUGU zake by da way 2pac aliwai SEMA
LIFE GOES ON......
 
Nawaza tu hivi uchaguz mkuu atakujaje kuomba kura? Ataombea huko huko Chato ama?
 
Kwa sasa Mwigulu ni secrect weapon ya Raisi Magufuli katika nyakati hizi ngumu za Corona. Kwa sasa Magufuli anamhitaji zaidi Mwigulu Nchemba kuliko Mwigulu anavyo muhitaji Magufuli.

Msimamo au mitazamo wa Magufuli unaungwa na Daktari wa Falsafa aliejitoa ufahamu kuwaita M7, Kagame Kenyatta kuwa wanafanya kazi ya wauguzi katika kupambana na Corona.

Kama kakolona katazidi kuzengua na wananchi kuzidi kuilalamikia serikali,jiandae na marshall law.
 
Back
Top Bottom