Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anateua mawaziri ili wamshauri. Unajua hakuna kazi nyepesi kama urais. Kila kitu unao washauri tena walio bobea, ni suala LA kuwa na hekima na busara tuu kuchuja unayopokea.
You have a point....hakukua na ulazima wa kutangaza mrithi wa wizara KABLA ya mazishi.Kitendo cha uteuzi kabla mtu hajazikwa si cha kitanzania kabisa huyo mteuzi ni kweli Mtanzania halisi
Serikali isipowajibishwa mwaka huu basi itawale milele mana sio kwa maamuzi haya ya kijinga kabisa
🤣🤣🤣🤣nacheka ka mazuri vile!! Umenikumbusha maandamano ya Mange waliandamana nyuma ya keyboard
Hana mwenye ubora unaotakiwa,wote ni walewale.Unategemea angemtoa wapi wa kumteua?Hicho chama kina wabunge kama Msukuma,Kibajaji,Mlinga and the like.Hana wenye sifa za ziada.
Walikuwepo wenzio sasa wako wapi, utatulia tu dadaChadema mtakufa kwa wivu
Akirudi nape Ndio mfe kabisa