Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

nchemba.jpg
 
Tanzania inahitaji RAIS kama aliyepo sasa asietabirika kesho atafanya nini

mwenye anafanya vitu kwa maslahi ya nchi na sio kufata sifa sifa za raia wanasema nn

haya sasa Mwigulu huyooo sijui wale vidomo domo watasema nn tena kiruuu.
 
Yaani bora hata angemrudisha mzee wa mijicho na kumpa Mwigulu mambo ya nje kama kulikuwa na haja ya kumrudisha Mwigulu jikoni. Jiwe is losing it. Where is he? When last was he seen in public?
 
Hongera zake, atleast kukaa ofisini miezi miwili mitatu sio mbaya.

Hii move sasa imenogesha ule mpambano wa Mwigulu na Kitila kule Iramba, now wote wako level.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom