Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Ina maana hakuna alieweza kukava hiyo nafasi zaidi ya nchemba?
Yaani bora nchemba angepewa michezo na sanaa makyembe ndio apewe sheria na katiba

Kujipendekeza ndiyo kigezo namba moja cha kuchaguliwa na sio elimu ya wizara husika.
 
Yaani inawezekana amesahau kuwa alimtengua. Utasikia wakati wa kumuapisha, nimekuteua wewe nimesikia unafanya vizuri sana huko Bungeni sasa nenda kule kashughulikie matatizo yote ya kikatiba nina imani na wewe kuwa ni mchapa kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kumshika jiwe akili kitu kidogo sana😅😅😅!Nimemkumbuka ghafla naibu waziri wa kilimo alivyokula shavu kimasihara!
 
Wala usitukane ndugu, kila jambo huja kwa wakati na nanafasi...kwasasa mamlaka ni yake, huenda nawe zamu yako itakuja
Sihitaji kujikomba kwa mtu mimi. Wewe unaona huu uteuzi umezingatia maadili? Yani mtu kwa yale aliyoongea bungeni unampa uwaziri!

Rais Magufuli anafanya hivi ili kuwafanya watu wajitoe fahamu wakigombea kuteuliwa jambo ambalo ni hatari sana kufanywa na kiongozi wa nchi.
 
Hahaha kweli kuna watu wanajua kucheza na upepo,yaani marehemu hata hajazikwa bado
 
So yule mwenzake aliye mwita ni mpumbafu sijui ataficha wapi sura yake
 
Back
Top Bottom