Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

It is all in the genealogy ingawa wahenga waliuliza what is in a name...of course the answer is obvious, there is a lot in a name even it is a fake one by a long shot. Hongera mwana kwetu Lameck Madilu, inahitaji akili kubwa kujua mahusiano.
 
Kalipwa mwanangu duuuh. Huyu Rais ni wa ajabu sana! Yani ule ugoro alioongea Mwigulu Bungeni kapewa uwaziri? Oooh my God! Ooooh my God!
Najisikia kumtukana Aisee
 
He's not gonna last long trust me!
kirusi kirusi
Ni swala la muda

Mtawala anajidanganya sana
 
si wasubiri tuzike jamani.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Anafauta maslahi yapi. Acheni kujitoa ufahamu. Tumekuwa taifa la kipumbavu sana
Tanzania inahitaji RAIS kama aliyepo sasa asietabirika kesho atafanya nini

mwenye anafanya vitu kwa maslahi ya nchi na sio kufata sifa sifa za raia wanasema nn

haya sasa Mwigulu huyooo sijui wale vidomo domo watasema nn tena kiruuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom