Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Mwanauchumi anapo kabidhiwa wizara ya sheria na mwanasheria anapo teuliwa kuwa gavana wa benki kuu.
Alafu tunajiuliza kwann Tanzania ni maskini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanauchumi anapo kabidhiwa wizara ya sheria na mwanasheria anapo teuliwa kuwa gavana wa benki kuu.
Sasa ulitegemea kuwa asubuhi alivyomsifia bungeni na kuwalaumu wanaomkejeli magufuli Halafu asiteuliwe?Mwigulu ameteuliwa kushika nafasi ya waziri wa sheria na katiba akichukua nafasi iliyo achwa wazi na Marehemu Augustine Mahige
Sent using Jamii Forums mobile app
aibu kubwa sana !Wenye imani na Magu nawapa pole
Pole kwa kuumiaaibu kubwa sana !
Maana halisi ya Kujua kula na Kipofu hiyo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Mwigulu mjanja sanaa.
Kasifia weeee mwisho karudi
Anajua madhaifu ya bosi wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alipomfukuzwa ilikuwa kwa maslahi ya nchi.Tanzania inahitaji RAIS kama aliyepo sasa asietabirika kesho atafanya nini
mwenye anafanya vitu kwa maslahi ya nchi na sio kufata sifa sifa za raia wanasema nn
haya sasa Mwigulu huyooo sijui wale vidomo domo watasema nn tena kiruuu.