Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Now Yanga B pale Singida itazidi kuimalika tutaendelea kuweka stock ya wachezaji wetu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hongera sana Kaka Mwigulu..
Ulipigania sana hii kitu.. what a come back..
 
Kwenye maisha lilia bahati


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ministerial Appointments za kiafrika huwa nachoka sanaaa.

Professional wa UCHUMI, anapewa kuongoza Wizara ya SHERIA!!

Mtaalamu wa SHERIA anaongoza Wizara ya AFYA!!

Afrika itaendelea kuwa bara la Giza tu. Sijuwi tulilogwa na nani?!!!

Kuna mambo mengine mpaka 'common sense' yenyewe inashangaa!

-Kaveli-
 
Sijui kama ameacha uzurulaji? Maana alivuliwa uwaziri kwa kutokuwajibika na uzururaji kwa mujibu wa mteuzi mwenyewe.
Ni kama unamuacha mke au mume kwa kumtuhumu ni Malaya na muasherati. Kisha unamsikia Bar (bungeni) anakusifia kukata kiuno cha hatari na kwa vile unapenda sana sifa unamrudia bila jamii kuifahamisha jee tabia zilizofanya umuache kajirekebisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom