Mwambieni Mbowe amchague waziri kivuliBora angempa makyembe mara mia kuliko huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambieni Mbowe amchague waziri kivuliBora angempa makyembe mara mia kuliko huyo
Uwaziri siyo watendaji hivyo hawachaguliwe kwa professional zao wewe mbumbumbu!!Ministerial Appointments za kiafrika huwa nachoka sanaaa.
Professional wa UCHUMI, anapewa kuongoza Wizara ya SHERIA!!
Mtaalamu wa SHERIA anaongoza Wizara ya AFYA!!
Afrika itaendelea kuwa bara la Giza tu. Sijuwi tulilogwa na nani?!!!
Kuna mambo mengine mpaka 'common sense' yenyewe inashangaa!
-Kaveli-
Mbumbumbu wa kimataifa huyu hapa!!Atahudumu miezi mitatu ila kilichoko wazi ni kwamba:
-Jamaa hajali kuhusu vifo,hata kule kabla zege halijakauka mtu kateuliwa
-Ana send meseji kwa wabunge wa ccm kwamba ukimlamba viatu na kujitoa ufahamu atakupa cheo
-meseji kwa wananchi kwamba mnayemcharura mitandaoni mimi ndo namkubali,msinipangie
Anapata kinua mgongo cha kutosha!!Mpira wa Kona dakika ya 89, Acha tuone itakuweje?
Hongera sana Mh. Mwigulu, kwa uteuzi ktk wizara nyingine nyeti. Taifa bado linakuhitaji, cha msingi ni simamia mambo yote muhimu kwa maadili mema, weledi, maarifa na uadilifu mkubwa.
waziri ni kiungo kati ya serikali na bunge. mtendaji mkuu ni katibu mkuu
Binadamu hupita lakini taifa halisimami nadhani.Raisi angeacha kwanza jamani
Maana halisi ya Kujua kula na Kipofu hiyo
Mkumbo amekali kuti kavu! Kura za maoni hapiti katu! Hawa proletariats walivyo wa hovyo, wamesharudi kwake!Habari mbaya hii kwa kitilya mkumbo