Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Subirien kitakachofuata ni mitandao yote kuzimwa tu na ole wake mtu aseme jambo tutaishia jela mwaka huu
 
Ni hatari mno kwa tabia hiii, itajenga makundi ya kigaidi ndani ya nchi Kwa kuutafuta cheo, hiii ni Aina ya iddi Amini ndio alivyokuwa akiteua wale tu wanaotembea na kumsifu barabarani hadharani ni hatari sana hiii, eti ili upate cheo lazima usifie utukane na kudharirisha upande wa wale wanaomkosoa mfalme hiii ni hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa tunaenda msibani, hata kuteua tungekua na utu wa kusubiria kidogo...haraka ya nini hata hatujazika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Very true, alitaka kuwaamisha watanzania kuwa is hard working kumbe wenye nazo wanamshangaa! Kwani wameshazika?
Je? huu ndiyo utamaduni wetu kabla hata ya kumaliza kula vyombo vinaondolewa mezani?
 
Ikitokea Waziri na Katibu wake kutofautiana kimtizamo kwenye suala linalohitaji professionalism, inakuwaje?

Mimi nadhani it sounds better wote Katibu na Waziri wake wakawa na corresponding profession to the Ministry they lead. Sio dhambi kufanya hivyo, inaongeza tija zaidi kwenye utendaji na utekelezaji wa duties za Wizara.

Ebu fikiria Wizara kama ya Afya inayodeal directly na maisha ya binadamu, iongozwe na Waziri mtaalamu wa SHERIA. Does it click in your mind?

To me, the common sense aborts!!

-Kaveli-
Sounds good but not necessarily, masuala yote ya kitaalam katibu mkuu huyasimamia hivyo ndiye mtendaji mkuu wa wizara, waziri husimamia sera
Kwa mtizamo hiyo siyo mpaka iwe professionalism.
 
MTU hata hajasomea sheria hii nchi ndomana hatuendelei!! Kisa anampamba vyakutosha hapa ndipo ujue kwenye kuchagua na kutengua hawashirikishi makamu na Pm.
Kenya walimpa jina flank nikachukia lkn sikuwa na sababu kuchukia.
Unafukuza unavyojiskia na kurudisha unavyojiskia tuu kama hausi gelo wamtu vile kumbe ndonchi ivyo inaongozwa!!
Waziri akialikwa mijadala ya sheria na katiba kimataifa tunafanyaje?????? Dah!!!

Mkuu, hili suala linashangaza sana.

Yaani ni sawa na Wizara ya Ulinzi umpe Waziri mwenye taaluma ya Kilimo. Eti kisa Waziri siyo mtendaji, mtendaji ni Katibu Mkuu. Hapana!! Haimeki sense.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom