Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Atahudumu miezi mitatu ila kilichoko wazi ni kwamba:
-Jamaa hajali kuhusu vifo,hata kule kabla zege halijakauka mtu kateuliwa
-Ana send meseji kwa wabunge wa ccm kwamba ukimlamba viatu na kujitoa ufahamu atakupa cheo
-meseji kwa wananchi kwamba mnayemcharura mitandaoni mimi ndo namkubali,msinipangie
 
Ministerial Appointments za kiafrika huwa nachoka sanaaa.

Professional wa UCHUMI, anapewa kuongoza Wizara ya SHERIA!!

Mtaalamu wa SHERIA anaongoza Wizara ya AFYA!!

Afrika itaendelea kuwa bara la Giza tu. Sijuwi tulilogwa na nani?!!!

Kuna mambo mengine mpaka 'common sense' yenyewe inashangaa!

-Kaveli-
Uwaziri siyo watendaji hivyo hawachaguliwe kwa professional zao wewe mbumbumbu!!
 
Atahudumu miezi mitatu ila kilichoko wazi ni kwamba:
-Jamaa hajali kuhusu vifo,hata kule kabla zege halijakauka mtu kateuliwa
-Ana send meseji kwa wabunge wa ccm kwamba ukimlamba viatu na kujitoa ufahamu atakupa cheo
-meseji kwa wananchi kwamba mnayemcharura mitandaoni mimi ndo namkubali,msinipangie
Mbumbumbu wa kimataifa huyu hapa!!
 
Sawa kumbe kelele na ushauri wote unaotolewa hapa mzee huwa anaona lakin kwa kuwa yeye hakuna wakumgusa anaweza kufanya lolote hakuna tatizo tutafika japo kwa kusuasua
 
Hivi wakati mamlaka ya uteuzi inamtema kutoka barazani pale mwanzo, alisema nini kuhusu huyuhuyu Dr Mwigulu? Tukumbushane.
 
Ili kubana matumizi, kipindi hiki michezo na sanaa zote zimesimama... Mwakyembe angechukua mikoba kwa muda, kule michezo angemuacha yule dada na katibu wake wakimalizia palipobaki....
 
waziri ni kiungo kati ya serikali na bunge. mtendaji mkuu ni katibu mkuu

Ikitokea Waziri na Katibu wake kutofautiana kimtizamo kwenye suala linalohitaji professionalism, inakuwaje?

Mimi nadhani it sounds better wote Katibu na Waziri wake wakawa na corresponding profession to the Ministry they lead. Sio dhambi kufanya hivyo, inaongeza tija zaidi kwenye utendaji na utekelezaji wa duties za Wizara.

Ebu fikiria Wizara kama ya Afya inayodeal directly na maisha ya binadamu, iongozwe na Waziri mtaalamu wa SHERIA. Does it click in your mind?

To me, the common sense aborts!!

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom