Rubawa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2015
- 2,055
- 3,254
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna sehemu kwenye katiba ya JMT inasema mtapangia rais amteue nani? Nyie pigeni porojo tu.Kujipendekeza ndiyo kigezo namba moja cha kuchaguliwa na sio elimu ya wizara husika.
Ndiyo maana wanaingia na kutoka eeh? Hivi ukiwa waziri wa katiba na sheria kwani unafanya press mara kwa mara au wao huwa ni mara chache kuonekana?
ndio Maana halisi ya kuwa Humble.. Ishi ukitambua maisha yataendelea uwepo au usiwepo.. Ile ya, kusema pengo halitazibika, ni faraja tu..Upele umepata mkunaji........ Ila maisha ya duniani ni mafupi sana, juzi tu waziri wa Katiba na sheria labda, alipanga safari ya kikazi sehemu fulani leo yupo kaburini, kabla hajaoza watu wameshachukua kiti.
Vyeo ni dhamana tu visiondoe utu wetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitoa yeye nani anafaa pale kitokea upinzani? Hamna!Yani kama utamchagua huyu kiongozi arudi pale mjengoni wewe unatakiwa kuwa miongoni mwa maajabu!
Ataweza huyu?
WameishaIna maana hakuna alieweza kukava hiyo nafasi zaidi ya nchemba?
Yaani bora nchemba angepewa michezo na sanaa makyembe ndio apewe sheria na katiba
Ila nape.... Hata mm ananiuma..... Alitumikia chama sanaKwa kweli...
Kama namwona nnauye akizidi kupanda presure.
Ina maana akina makamba ndo kwisha habari yao