Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

kisheria akafute yale mawe ya mwigulu rais 2015-

nchi inaye rais mmoja tu
 
Upele umepata mkunaji........ Ila maisha ya duniani ni mafupi sana, juzi tu waziri wa Katiba na sheria labda, alipanga safari ya kikazi sehemu fulani leo yupo kaburini, kabla hajaoza watu wameshachukua kiti.
Vyeo ni dhamana tu visiondoe utu wetu.



Sent using Jamii Forums mobile app
ndio Maana halisi ya kuwa Humble.. Ishi ukitambua maisha yataendelea uwepo au usiwepo.. Ile ya, kusema pengo halitazibika, ni faraja tu..
 
Back
Top Bottom