Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya kwanini msiende kuhoji mahakaman?Katiba ipi inasema mkutano ufanye kwenu tu, ipi?? Kwa kiwango hiki cha akili alichonibariki Mungu siwezi kucope kuwa mwanaCheCheMea, honestly NOT!
Mind fart.Kumbe nyie mko huko kutafuta vyeo pale mtakapofanikiwa kuchukua dola? Vyeo vinapatikana kwa kuwa na sifa zinazositahili bila kuangalia dini, itikadi wala kabila la mtu au utiifu wake kwenye chama fulani cha siasa.
Swali lipo straight forward, isnt it?Haya kwanini msiende kuhoji mahakaman?
Kuiba na kukimbia na masanduku ya kura kwa msaada wa Polisi huo unaita ushindi?Hii ndiyo lugha pekee mnayoijua. Wananchi wameshawajua na ndiyo maana wamewapotezea mbali, kila uchaguzi mdogo mnaambulia nunge!
Kama mnaona sheria au katiba imekiukwa,dawa ni mahakamani sio kwenye social mediaSwali lipo straight forward, isnt it?
Umeamua kutembea uchi mwenyewe na akili zako, let the world see you, muda ukifika unafia kwenye KARAVATI, we know where this is heading to, through our beloved history.Kama mnaona sheria au katiba imekiukwa,dawa ni mahakamani sio kwenye social media
Umeamua kutembea uchi mwenyewe na akili zako, let the world see you, muda ukifika unafia kwenye KARAVATI, we know where this is heading to, through our beloved history.
Nilishindwa kukujibu swali lako kwa sababu mambo yote hayo yanayohusu demokrasia na the rule of law yamepelekwa mahakamani, ni PROCESS sio EVENT.Nafikiri nyinyi ndio mnaojitembeza uchi,huwa siwaelewi mnavyopiga kelele kwenye mitandao kwa mambo yanayohitaji utaalam.Tunajua chombo pekee chenye mamlaka ya kusema sheria au katiba imevunjwa ni mahakama.Sasa mnapokuja jf au kuitisha press conference huwa sielewi kwamba mnatafuta kiki zisizo na tija au nini?Mwaka wa tatu tunaingia na wimbo ooh katiba gan imekataza mikutano,je ndio solution?Aliyekua anajitambua ni Mtikila(RIP)Mambo ya sheria alikua anamalizana mahakaman na sio kutoa povu kwenye mitandao
Utawajulia wapi subiria siasa zirihusiweambao wote nao wamewatosa wamekimbia niambie kwahivi sasa huko CHADEMA ni type ya Dr.Slaa na Zitto,ukimwondoa Tundu Lissu....swala sio majembe tatizo ni majembe yenye uwezo,leo uwezo wa Mnyika huwezi kuufananisha na kipindi kile katibu alivokua Dr.Slaa,nani nitaje mwenye uwezo kama wa hao uliowataja, John Heche,Mbowe!??nani aliyebaki huko!??
Angekuwa mzalendo, bora angemalizia hii ngwe yake.Naomba tudhibit hii hama hama ya wabunge
Upo ndugu lowassaAende tu afu awachukue na wengine aende nao
Tunajua anaona 2020 hawezi kurudi kwa ticket ya cdm,akaona acha arudi nyumbani pia yuko na mwenyekiti wa halmashauri ya monduli nae atatangaza mda si mrefu,pia meya calist lazaro nae yuko kundi hilo atatangaza kuhamia ccm,wavulana wataondoka watabaki wanaume machineSiasa bana..
Mbunge / anahama chama kwa madai kwamba wabunge wa upinzani wanalazimishwa kupinga bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti alafu unahamia chama ambacho wabunge wanalazimishwa kupitisha bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti vilevile
Wewe ni mtu wa ajabu sana. Hivi hujui kuchafua uchaguzi halali ni kosa?? Kwa sheria hiyo hiyo ya kuuchafua uchaguzi huru na wa haki.Kwa sheria ipi?
kwa anayejua namna ya kupiga hizi dili jamani aniunganishe mi nipo chadema nataka kujiunga na ccm