Elections 2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

Elections 2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

Slaa alkwaulizaga swali zuri sana! Kwamba je, Lowassa ni Asset au liability?

Nyumbu wakaishia kumtukana, sasa ngoja waendelee kuugulia maumivu
 
Katiba ipi inasema mkutano ufanye kwenu tu, ipi?? Kwa kiwango hiki cha akili alichonibariki Mungu siwezi kucope kuwa mwanaCheCheMea, honestly NOT!
Haya kwanini msiende kuhoji mahakaman?
 
Kumbe nyie mko huko kutafuta vyeo pale mtakapofanikiwa kuchukua dola? Vyeo vinapatikana kwa kuwa na sifa zinazositahili bila kuangalia dini, itikadi wala kabila la mtu au utiifu wake kwenye chama fulani cha siasa.
Mind fart.

Bila shaka wewe ni mganga wa kienyeji.
 
Hii ndiyo lugha pekee mnayoijua. Wananchi wameshawajua na ndiyo maana wamewapotezea mbali, kila uchaguzi mdogo mnaambulia nunge!
Kuiba na kukimbia na masanduku ya kura kwa msaada wa Polisi huo unaita ushindi?
Ndio maana nasema hustahili kuitwa Dr Akili!
 
hivi, chadema wamebakiwa na wabunge wa ngapi mpaka sasa??
 
Kama mnaona sheria au katiba imekiukwa,dawa ni mahakamani sio kwenye social media
Umeamua kutembea uchi mwenyewe na akili zako, let the world see you, muda ukifika unafia kwenye KARAVATI, we know where this is heading to, through our beloved history.
 
Umeamua kutembea uchi mwenyewe na akili zako, let the world see you, muda ukifika unafia kwenye KARAVATI, we know where this is heading to, through our beloved history.

Nafikiri nyinyi ndio mnaojitembeza uchi,huwa siwaelewi mnavyopiga kelele kwenye mitandao kwa mambo yanayohitaji utaalam.Tunajua chombo pekee chenye mamlaka ya kusema sheria au katiba imevunjwa ni mahakama.Sasa mnapokuja jf au kuitisha press conference huwa sielewi kwamba mnatafuta kiki zisizo na tija au nini?Mwaka wa tatu tunaingia na wimbo ooh katiba gan imekataza mikutano,je ndio solution?Aliyekua anajitambua ni Mtikila(RIP)Mambo ya sheria alikua anamalizana mahakaman na sio kutoa povu kwenye mitandao
 
Nilishindwa kukujibu swali lako kwa sababu mambo yote hayo yanayohusu demokrasia na the rule of law yamepelekwa mahakamani, ni PROCESS sio EVENT.
Kwa sasa ni vizuri waendelee tu kutembea uchi huku dunia ikitazama, ukifika wakati, ambao UPO, wanatokea kwenye KARAVATI, that's history not me.
 
ambao wote nao wamewatosa wamekimbia niambie kwahivi sasa huko CHADEMA ni type ya Dr.Slaa na Zitto,ukimwondoa Tundu Lissu....swala sio majembe tatizo ni majembe yenye uwezo,leo uwezo wa Mnyika huwezi kuufananisha na kipindi kile katibu alivokua Dr.Slaa,nani nitaje mwenye uwezo kama wa hao uliowataja, John Heche,Mbowe!??nani aliyebaki huko!??
Utawajulia wapi subiria siasa zirihusiwe
 
CHADEMA imeshajifia tayari,naona Mbowe haamini bado kinachotokea,Wale tu ruzuku za mwisho mwisho hadi 2020 litasalia jina tu.
 
Karibu nyumbani ulidanganywa ukadanganyika.. Nadhani ushajifunza
 
kwa anayejua namna ya kupiga hizi dili jamani aniunganishe mi nipo chadema nataka kujiunga na ccm
 
Siasa bana..
Mbunge / anahama chama kwa madai kwamba wabunge wa upinzani wanalazimishwa kupinga bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti alafu unahamia chama ambacho wabunge wanalazimishwa kupitisha bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti vilevile
Tunajua anaona 2020 hawezi kurudi kwa ticket ya cdm,akaona acha arudi nyumbani pia yuko na mwenyekiti wa halmashauri ya monduli nae atatangaza mda si mrefu,pia meya calist lazaro nae yuko kundi hilo atatangaza kuhamia ccm,wavulana wataondoka watabaki wanaume machine
 
Kwa sheria ipi?
Wewe ni mtu wa ajabu sana. Hivi hujui kuchafua uchaguzi halali ni kosa?? Kwa sheria hiyo hiyo ya kuuchafua uchaguzi huru na wa haki.
Hiyo fedha wangelikuwa wanatozwa ili kuufanya uchaguzi mardio nadhani wangeshika adabu yao
 
Back
Top Bottom