"In order to catch a criminal,you need to think/act like one". Sijui ni Criminal Minds au series gani nimenukuu.1. Huyo mtu ni darasa la saba ila kaongea kitu ambacho hata maprofesa hawawezi kumuelewa na ndicho kinachoonekana hapa
2. Watu waliopitia vyuo vya kuwaandaa wachungaji na mapadre watakubaliana na mimi kuna somo huwa wanafundishwa kuwa hakuna Mungu na wanasoma phylosopher wengi wanaokataa uwepo wa Mungu ila miaka ijayo ndio wanakuja kusoma kuwa Mungu yupo...
Jumanne Kishimba tunamjua vizuri. Ni maarufu kwenye biashara za magendo kutoka Kenya kupitia Lake Victoria miaka ya 1990s. Ila ni mmoja kati ya wafanya biashara walikuwa wanatumia tindikali katika kuwatisha wafanyakazi wa TRA wakati wanadhibiti mali inayoingia nchini bila kulipia kodi. Walikuwa wanawakodi vijana na wanawatuma wakawamwagie tindikali.Ungejua huo utajiri aliupata vipi usinge ongea ulicho kiandika
Julianne Kishimba tunamjua vizuri. Ni maarufu kwenye biashara za magendo kutoka Kenya kupitia Lake Victoria miaka ya 1990s. Ila ni mmoja kati ya wafanya biashara walikuwa wanatumia tindikali katika kuwatisha wafanyakazi wa TRA wakati wanadhibiti mali inayoingia nchini bila kulipia kodi. Walikuwa wanawakodi vijana na wanawatuma wakawamwagie tindikali.
Muulizeni kilichomkimbiza nchini na kwenda kuishi Zimbabwe. Alikimbia RB pale Mwanza Central Police ya kujeruhi/ kuua.

Usinilazimishe kuamini unacho kiamini na daima haijawahi kutokea binadamu woote duniani tukawa na akili sawa.Unahitaji kuwa na akili nyingi sana kumuelewa Mh. Kishimba kwa hoja yako hii inayoonyesha humuelewi wewe huna akili nyingi unazo za kawaida tu.
Kwani mkuu CRIMINOLOGY ni elimu ya nini?
Huyu mbunge IQ yake kubwa sana. Alichomaanisha ni kuwa wahasibu wafundishwe Forensic audit, Fraud risk etc, ila kwa lugha yake nyie msiofahamu mtambeza sana, ila kaongea pointi muhimu sana, Tanzania watalaamu wa forensic audit, fraud si wengi ni wachache mno. Kingine wanafuzni wote iwe compulsory kwa somo la Business ethics, ili kuinstall moral behaviour kwa wahusika. Nadhani serikali ilichukulie hili jambo na kulifanyia kazi
duhBila hao ccm ingekwiaha fungashiwa virago mapema sana
nakuelewa mkuu, kwa mantiki hiyohiyo mbona unamuona Mh. Kishimba kama mwenye mawazo ya ajabu wakati ni haki yake?Usinilazimishe kuamini unacho kiamini na daima haijawahi kutokea binadamu woote duniani tukawa na akili sawa.
Wewe amini unavyo hitaji nami niache niamini ninacho kiamini.
Wizi na mbinu za wizi ubadilika kulingana na wakatiMawazo ya wana ccm ni ya kushangaza na kustaabisha aisee..mjenge vyuo vya kufundishia uharifu??? Duuh mawazo mengine ni utalii tosha
Ccm ndio chuo chenyewe cha wizi.Hadi ile mahakama ya mafisadi iliyofunguliwa kwa mbwembwe bila kufanya study ya kwamba wateja wakuu ni ccm,walipobaini hivo imekufa kibudu.Sipati picha Kama wezi mafisadi wangekuwa ni wapinzani nadhani ingeshajaa.