Mbunge wa Karagwe aomba Rais Magufuli alipopigia push up ujengwe uwanja wa kumbukumbu!

Mbunge wa Karagwe aomba Rais Magufuli alipopigia push up ujengwe uwanja wa kumbukumbu!

31e2aaff544ef9e4157c5d46da4161e3.jpg
 
Upuuzi uliopita viwango. Ndiyo maana hawataki bunge live maana kwa ujuha huu ni halali kwa kile wanachokitetea.
 
Kwi! Kwi! Kwi ! huu ni udhalilishaji kwa wapiga kura wa jimbo lake .
 
Ukiona inchi ni maskini,basi ni kiwakilishi cha uelewo wa viongozi wake
 
Duuuu! Akili za Wana Ccm ndipo zilipoishia jamani Watanzania tuamke kuchagua haya majitu ya ccm ni kuipatia laana nchi yetu iendelee kuwa masikini
 
Endelea kujifariji badala urudi kwenu mkaue funza, endelea kubisha hapa
Sitoki Karagwe lakini naijua Karagwe sana. Kwanza wana mazao yanayowalipa sana kahawa, maharage, mahindi na matunda. Kumbuka pia imezungukwa na nchi tatu za Uganda, Rwanda na Burundi. Karagwe unaweza kupewa vijiji 10 utafute nyumba ya nyasi ukakosa.
Nakumbuka wakati wa kampeini za 2010 Dr Slaa alisema hapa ukisema nyumba za tembe hueleweki
 
Sitoki Karagwe lakini naijua Karagwe sana. Kwanza wana mazao yanayowalipa sana kahawa, maharage, mahindi na matunda. Kumbuka pia imezungukwa na nchi tatu za Uganda, Rwanda na Burundi. Karagwe unaweza kupewa vijiji 10 utafute nyumba ya nyasi ukakosa.
Nakumbuka wakati wa kampeini za 2010 Dr Slaa alisema hapa ukisema nyumba za tembe hueleweki
Pamoja na hayo yote huo ndio ukweli mchungu, tembelea page ya JF ya Facebook usome vizuri hii habari alafu ulete mrejesho
 
tutasikia mengi sana mwingine alisema watu walime bangi kama mazao mengine,mwingine lijengwe sanam la diamond,leo tena magu akipiga push up ccm mbele kwa mbele
 
Tatizo mlitaka waingee bungeni .wakikaa kimya hawatalipwa POSHO hivyo wameamua kuzungumza atakama ni upuuzi.
 
Huo Mji wa. Kayanga anaousema upo chini ya Ukawa Mtaji Wa CCM ni watu wenye uwezo Mdogo Wa. Kufikiri alipata kura Ndani Ndani vijijini
 
Jinga kabisa hili libunge.jimboni kwake usikute wananchi wana shida kibao.badala ya kubuni miradi ya maendeleo anatuletea upuuzi huo
 
Mawazo ya dizaini hii na yale ya kuweka sanamu ya dimond pale posta......akili za aina hii zinaakisi/zinafanana na 99% ya watanzania, ni ujinga upuuzi wa hali ya juu, lakini majority ndo upeo wetu wa kufikiri umeishia hapo. Shangaa baada ya mbunge kuongea pumba hizo wabunge wenzake wamempigia makofi kuwa ametoa point. CCM itatawala milele coz mtaji wao ni ufinyu wa akili wa watanzania. Miaka yote naamini kuna kizazi kinachoanzia miaka 25 - 80 inabidi kifutike kwanza ili ccm ife na nchi ipate maendeleo ya kweli.
 
Bora nife kuliko kuwa mshabiki na mwanachama wa ccm.Kama huyo ndiye mwakilishi wa wananchi,hali ikoje kwa wanachama na wafuasi wa hicho "CHAMA CHA MWENDOKASI"(CCM)?

Badala ya kujenga mnara ambao watakuwa wakiuona watu wa huko ulipojengwa,nafikiri waweke hizo picha katika noti(fedha)zetu ili kila mmojawetu azione,katika moja ya noti hizo wasisahau kuandika nukuu ya mh.kuwa Saddam Hussein ni Rais wa Kuwait.

Hapa ndipo ccm walipotufikisha,watu wanaongea upuuzi hadi kwenye mihimili ya dola,huu ni ujinga wa kiwango cha PhD na katika dunia hii unapatikana hapa Tanzania pekee.
Kyekyekyeee.chama cha mwendo kasi
 
Inasikitisha kweli mbunge mloamua kumpigia kura anaingia bungeni hana la kusema anaongea ujinga kama huu kazi tunayo jaman
 
Back
Top Bottom