Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo nafikiri kwa tanzania bado hatujafikia hukoHa
haaaaaaaa haaaaaa haaaaaa! Wajameni. Kura ya kutokuwa na Imani nae
Huyu aliyepiga picha lazima alipiga Afrika Magharibi akaiita ya Karagwe. Hii ni moja ya wilaya Tajiri Tanzani
Sitoki Karagwe lakini naijua Karagwe sana. Kwanza wana mazao yanayowalipa sana kahawa, maharage, mahindi na matunda. Kumbuka pia imezungukwa na nchi tatu za Uganda, Rwanda na Burundi. Karagwe unaweza kupewa vijiji 10 utafute nyumba ya nyasi ukakosa.Endelea kujifariji badala urudi kwenu mkaue funza, endelea kubisha hapa
Pamoja na hayo yote huo ndio ukweli mchungu, tembelea page ya JF ya Facebook usome vizuri hii habari alafu ulete mrejeshoSitoki Karagwe lakini naijua Karagwe sana. Kwanza wana mazao yanayowalipa sana kahawa, maharage, mahindi na matunda. Kumbuka pia imezungukwa na nchi tatu za Uganda, Rwanda na Burundi. Karagwe unaweza kupewa vijiji 10 utafute nyumba ya nyasi ukakosa.
Nakumbuka wakati wa kampeini za 2010 Dr Slaa alisema hapa ukisema nyumba za tembe hueleweki
Na zile bank alizoingia ghafla zigeuzwe Makumbusho.Pia kuna sehemu alizigonga ngoma kishenzi wajenge makumbusho
Kyekyekyeee.chama cha mwendo kasiBora nife kuliko kuwa mshabiki na mwanachama wa ccm.Kama huyo ndiye mwakilishi wa wananchi,hali ikoje kwa wanachama na wafuasi wa hicho "CHAMA CHA MWENDOKASI"(CCM)?
Badala ya kujenga mnara ambao watakuwa wakiuona watu wa huko ulipojengwa,nafikiri waweke hizo picha katika noti(fedha)zetu ili kila mmojawetu azione,katika moja ya noti hizo wasisahau kuandika nukuu ya mh.kuwa Saddam Hussein ni Rais wa Kuwait.
Hapa ndipo ccm walipotufikisha,watu wanaongea upuuzi hadi kwenye mihimili ya dola,huu ni ujinga wa kiwango cha PhD na katika dunia hii unapatikana hapa Tanzania pekee.