Mbunge wa Kishapu(CCM), Suleiman Nchambi aliyekutwa na silaha 16 aburuzwa mahakamani, asomewa mashitaka 12

Unafikiri wanaitwa misukule kwaajili ya Nini?tabia yao hawaeleweki wanataka nini wanapinga Nini! Hii ndio sifa ya misukule ya ufipa [emoji23][emoji2960]
 
Msamaha wa mafisadi PAPA (Sio Paulo)

Jr[emoji769]
 
Kawaida naunga mkono yeyote anayejiusisha na ujangiri afilisiwe!

Sema hizo pesa ndio tunatakiwa kuhoji zinaenda mikononi mwa nani?

Kama ni mikononi mwa Jiwe ni ujangiri mwingine pesa ya uchaguzi inatafutwa na kuhonga wapinzani.
Kweli kamanda!
Ni kama hela za ruzuku na michango ya wabunge wetu tu zinavoishia kwa wale jamaa wawili walioiuzia CCM nafasi ya Ugombea URAIS 2015.
Na bado tulivo na akili nyingi tukawakabidhi tena madaraka watuvushe 2020.
Mch Msigwa anaijua vizuri sana definition ya "Insanity"
 
This is unfair!
Huyu jamaa tukimtetea na kumsafisha hawezi kuwa mgombea wetu kweli?
Ni muhimu Mwenyekiti akiifikiria hii fursa kama tulivofanya kwa EL na kuwashawishi akina Erythrocyte kupiga deki barabara.
 
hakuna sheria iliyotungwa kwa ajili hela za hivyo , angalia Rostam alichofanya baada ya mdogo wake kudakwa , nyara za serikali zikabadilishwa na channel 10 kwa ccm .

Ukweli usiojulikana sana ni kwamba ''Nchambi" hana pesa ya kumlinganisha na Rostam, Biashara ya Bus yenyewe imemshinda
 
As long as tuna sheria ya plea bargain, unakiri kosa, unalipa pesa, kesi inaisha, maisha yanaendelea!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…