Mbunge wa Kishapu(CCM), Suleiman Nchambi aliyekutwa na silaha 16 aburuzwa mahakamani, asomewa mashitaka 12

N
Tangu aondoke Dk. Slaa kutetea wahalifu na mafisadi ndio imekiwa Sera ya Chadema. Na bahati mbaya wapiga kura wengi huku site wameishawashtukia. Wasubiri tu Oktoba.
Tusubiri sasa kulima kwa Meno baada ya October kama alivyo muhaidi Kitwanga kwenye ile clip
 
Sawa mkuu, ila hujajibu kwa nini mnatetea kila mtu anaekutwa na kosa?
Siyo kweli kwamba wanatetea bali wanataka sheria ifuate mkondo wake. Hiyo habari ya kuwaomba watu pesa ni kwa mujibu wa sheria gani? Jiwe naye mwizi tu!
 
Lugola yupo mitaani anapasua viazi vitamu
Hakuna mwana CCM atakayevumiliwa kwa kuvunja sheria na hii ndio inaifanya CCM kuwa imara kila uchao!

In God we Trust
 
Huyo Nchambi anamiliki kitalu chake, sasa anachokifanya anaingia kwenye hifadhi anaua wanyama halafu anarudi na kuwaingiza ( wanyama alokwisha kuwaua ) ndani ya hifadhi yake na kuonekana kama vile kawinda ndani ya kitalu chake lkn mkono wa serikali ni mrefu hatimaye kadakwa
 
Siyo kweli kwamba wanatetea bali wanataka sheria ifuate mkondo wake. Hiyo habari ya kuwaomba watu pesa ni kwa mujibu wa sheria gani? Jiwe naye mwizi tu!

Nani aliombwa pesa? Na kama hawataki kwa nni wakubali kuombwa pesa wakati hawajakosa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…