Mbunge wa Kishapu, Suleiman Nchambi (CCM) mbaroni kwa kukutwa na Silaha 16 na risasi 536

Mh...
 

Kwakuwa mimi ni naibu waziri shapu ninamuahidi mbunge shapu kwamba nitakua shapu kuandamana nae kufanya safari ya shapushapu kwenda kishapu kwa ajili ya kuwahudumia wananchi shapu wa kishapu.
 
Itakuwa amekiuka masharti ya kusambaza nyamapori na posho zinginezo kwa wanaomlinda

BTW alitakiwa awe bungeni kumbe yeye anatungua nyati na swala
 
Hawa jamaaaa wanaliangamiza sana taifa hili maana ni wizi wizi mtupu! Utashaangaaa huyu jangili yupo mtaàani tuu
 
FIgisu watu wanataka jimbo ingawa SISIEMU wengi ndio biashara zao hizo!!
 
Mwaka wa uchaguzi huu,vinginevyo tusingesikia hii kitu ingezimwa kimyaa.Wanagombea jimbo tu...kiuhalisia wabunge wengi wa chama chetu ni wahalifu,ndiyo maana katika hotuba zao bungeni ni kusifia tu na kuponda upinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi waziri wa maliasili na utaliii ulimmaindi diwani kupost picha ya chatu aya sikia jangili kuuu risasi 536 si tembo 500 hao.
 
itapendeza sana kama akikutwa na hatia basi aadhibiwe bila huruma kama alivyoadhibiwa DJ na wenzake ili wengine kama yeye waache japo niliwaza kwa mbaaaali kuwa siasa zetu ni za majitaka sasa wakati huu ni wa kuelekea uchaguzi ni wakati wa wagombea kuchafuana na kutengenezeana zengwe binafsi siamini sana mtu unaweza kujaza nyumbani kwako silaha zote hizo kukutwa na nyama si ajabu ila magobore duh!! mahakama itaonesha ukweli!!
 
Isikute hii karma ya hii kitu!.
Mh. Nchambi mbunge wa CCM amdhalilisha Mh. Salome Makamba. Spika Ndugai hakuchukua hatua. Je, sababu ni mfumo dume, au chuki za itikadi za vyama? - JamiiForums
P
 
CCM hakuna ambacho hakiwezekani hata kifaru ukitaka unamiliki tu.
Adam Malima si alikutwa na military grade weapon huko Morogoro akiwa na Changudoa wake ambayo raia hapaswi kumiliki
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…