Mbunge wa Mikumi, Ndg.Joseph Haule aka Prof.J afunga ndoa takatifu

Kuoa ndugu hakuna formula. Kuoa ni umri na uwezo wa kufanya mapenzi over. Hakuna mbwembwe zaidi ya hayo. Kama swala la pesa basi utatafuta mpaka unaingia kaburini na hazitatosha kamwe. Kama ni kumpata umpendaye kwa maisha yako yote basi hautampata mpaka kaburini. Kama ndugu umri umefika oa tu, ndoa ni fumbo la imani na limeletwa na mungu halina formula zaidi ya kukomaa yaani kuwa na uwezo wa kuzaa.
 
Tabia nyingine ya jamii masikini nikupenda kupangiana maisha na kuhukumiana kwa formula za haraka haraka bila hata ya kujua habari kamili za jambo.

Uswazi watu wanachunguzana moaka kufungua kapu la taka kuona nani kala mayai na nani kala dagaa kauzu.
 
Nani aliyekuambia kuoa ni lazima?
Nani aliyekuambia kuwa na mtoto ni lazima?

Unaendeshwa na wengi wanafanya nini?
 
Hahah hapo kwenye watu maskini pekee ndio pekee huo ndoa inawapa faraja ni ukweli 100%,points ulizoshusha zote kwenye huu uzi ni ukweli mtupu.

Big up Mkuu.
 
Points tupu.
 
Hahah aisee wazazi wa kiafrica ndo mawazo yao hayo,nilidhani pengine sababu wazazi wa miaka hio sababu hawakua na elimu ndo walikua wanazaa kwa staili hio.

Ila nimekuja kushangaa hata jamii yetu ya vijana waliosoma mtindo wa uzaaji ni ule ule tu.
 
Kaoa akiwa mkubwa sana. Mimi kipindi nikiwa kidato cha kwanza yeye alikuwa kijana mkubwa kabisa. Nimekua nimeoa yeye ndo amekuja kuoa.

Hongera zake.
Hey kila myu anaoa kivyake huyo kabla hajaoa kawowa sana tu kwa hiyo anafanya closer ya utundu tu usikute ana mtoto mkubwa kama wewe
 
Wengi wanaokimbilia kuoa na kuzaa mapema ndio wanaopeleka watoto kwa bibi na babu zao aidha kwa kuwa na kipato kidogo au kwa kujiendeleza kimasomo.
 
Mimi nishawaroa akili watu karibu wote wenye PhD hapa bongo. Zamani nilikua natamani kua na PhD lakini baadae nikaja kughaili baada ya kuona PhD wa Bongo wasivyo na akili nikaona watu wenye akili watakuja kunijumuisha na mimi.
 
Mangi.

Hoja safi sana.
 
Yaani ndo ume-prove umasikini wako wa akili. Dah! Tuna safari ndefu sana.
Na huo ndio umasikini mbaya kuliko umasikini wote.

Waswahili husema heri ukose mali upate akili. Sasa watu wengi hutamani mali kuliko akili.

Huyo jamaa anaumwa gonjwa baya sana la Upungufu wa Akili Mwilini.
 
acha uongo messi kaoa juzi tu.. etoo nae miaka kibao hajaoa.. rooney nae hajaoa..

wanasoka wanawahi kuishi na wanawake na kuzaaa nao na wanaoa watoto wao wakubwa wakubwa kabisa.. mfano beckham etc na karibu wote... wana wachumba tu na watoto mapema ila ndoa kabisa wanachelewa...

 
Kaoa akiwa mkubwa sana. Mimi kipindi nikiwa kidato cha kwanza yeye alikuwa kijana mkubwa kabisa. Nimekua nimeoa yeye ndo amekuja kuoa.

Hongera zake.
Alikuwa anangoja afya iimarike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…