Mbunge wa Mikumi, Ndg.Joseph Haule aka Prof.J afunga ndoa takatifu

Mbunge wa Mikumi, Ndg.Joseph Haule aka Prof.J afunga ndoa takatifu

Kuna vitu watu hukosea sana, na hii husababishwa na kurithi utamaduni, huku tukiendelea kuaminishwa lazima tuheshim tamaduni haijalishi uo utamaduni upoje.

Tuna shuhudia hata wenye elim kubwa tu, unakuta msichana anaelim yake kubwa lkn bado anajiona hana aman asipo olewa mapema. Na chazaidi anacho waza watu watamuonaje? wenzake wanaolewa yeye bado anachelewa na uoga wa umri kwenda.

Pamoja na kuwa na elim, lakini kukosa fursa ya kujichanganya na jamii tofauti, kukosa exposure na jamii tangu utotoni, kujifunza huru bado kunafanya vijana wasomi wengi kuishi ktk mfumo uleule unao fanana na ambao hawajasoma. Unashindwa kuona utofauti, cha zaidi labda utofauti utakuwa kwenye uchumi lkn kwenye social life hamna utofauti.

May be inachangiwa pia na kuzungukwa na Wajinga wengi kiasi kwamba unauzoea ujinga na kuwa sehem yao.

Lakini mimi naamini katika kuoa lzm uzingatie vifuatavyo

1. Kwanini unaoa? Je ni kwasababu watu wanaoa? Unataka tu upate watoto?

2. Upo tayari kuoa? (kukubali kubadilisha mfumo wa ubachela) upo tayari kukabiliana na changamoto za ndoa?

3. Unaweza mudu kuendesha familia? hali ya kiuchumi ipoje?

4. Umepata mtu sahihi? Umejihakikishia anakufaa? Umekubaliana na madhaifu yake na yako?

Kuishi kwa uoga ni hatari sana, yani utadhan una guarantee ya kuishi milelel hapa dunian.

Cha muhimu katika maisha ni kujitahidi kuitafuta furaha na aman, kuishi maisha unayoyataka.
Kuoa ndugu hakuna formula. Kuoa ni umri na uwezo wa kufanya mapenzi over. Hakuna mbwembwe zaidi ya hayo. Kama swala la pesa basi utatafuta mpaka unaingia kaburini na hazitatosha kamwe. Kama ni kumpata umpendaye kwa maisha yako yote basi hautampata mpaka kaburini. Kama ndugu umri umefika oa tu, ndoa ni fumbo la imani na limeletwa na mungu halina formula zaidi ya kukomaa yaani kuwa na uwezo wa kuzaa.
 
Una miaka 35+ haujaoa au haukiwai kuoa wewe unamatatizo ya kimaumbile au kisaikologia. Acha kujidanganya ndugu @ nyoka wa makengeza eti maskini ndio wanao oa mapema. Umri sahihi wa kijana rijali aliyepata malezi bora na mwenye heshima na busara huoa kati 25 to 30 year regardless pato lake. Ukizungumzia matajiri basi watazame wanasoka wanaolipwa mabilioni ya pesa wanaoa at 22+ , sijawai msikia mchezaji baada ya kustafu soka ndio anaoa mean at 35+ . please 35+ tuwaachie wagane na divorced kuoa.
Tabia nyingine ya jamii masikini nikupenda kupangiana maisha na kuhukumiana kwa formula za haraka haraka bila hata ya kujua habari kamili za jambo.

Uswazi watu wanachunguzana moaka kufungua kapu la taka kuona nani kala mayai na nani kala dagaa kauzu.
 
Kuoa ndugu hakuna formula. Kuoa ni umri na uwezo wa kufanya mapenzi over. Hakuna mbwembwe zaidi ya hayo. Kama swala la pesa basi utatafuta mpaka unaingia kaburini na hazitatosha kamwe. Kama ni kumpata umpendaye kwa maisha yako yote basi hautampata mpaka kaburini. Kama ndugu umri umefika oa tu, ndoa ni fumbo la imani na limeletwa na mungu halina formula zaidi ya kukomaa yaani kuwa na uwezo wa kuzaa.
Nani aliyekuambia kuoa ni lazima?
Nani aliyekuambia kuwa na mtoto ni lazima?

Unaendeshwa na wengi wanafanya nini?
 
Dogo hakuelew yeye amekurupuka kujibu kua mtu ana kansa.

Mtu unashinda maktaba au maabara ukitafiti jambo hasa lenye matokeo chanya kwa watu wengi na kuacha jina, utapata wapi muda wa kuwaza kuoa au kuzaa mapema uko maabara mara sim inaita mtoto anaharisha sijui amekuaje na mambo ya ajabu ajabu.

Wakati wengine wanataka kuacha majina hasa yenye matokeo chanya kwa kugundua tiba ya gonjwa linalotishia uwepo wa uhai mtu mwingine anawaza mbunye na kuwahi kuzaa na kuoa.

Watu masikini tu na wasio na elimu ndio wanaona ndoa na familia ndio faraja yao pekee.
Hahah hapo kwenye watu maskini pekee ndio pekee huo ndoa inawapa faraja ni ukweli 100%,points ulizoshusha zote kwenye huu uzi ni ukweli mtupu.

Big up Mkuu.
 
Ni umasikini tu na ukosefu wa shule, masikini ndio wanajifariji kua wahi kuoa uwahi kulea ili uwahi kupumzika.

Maana yake ni kua miaka ya 20 wakati una nguvu za kubeba zege uzae ili mtoto aanze shule mapema ili ukifikisha miaka 45 uwe umemaliza kumsomesha angalau hadi sekondari za bure maana nguvu zako zitakua zimeisha na hutakua tena na nguvu za kutafta pesa kwa kutumia nguvu ili yeye mwanao sasa aanze maisha ili ukifika 60 umechoka akusaidie.

Haya ni mawazo ya kimasikini kabisa. Jay-Z kazaa juzi hapa hata wiki 2 hazijaisha ana miaka 47, je amekosea? Mengi kazaa ana miaka karibu 80, je amekosea?
Points tupu.
 
Nimesoma hii comment, kweli chain of poverty haiwezi kukatika kusini mwa jangwa la Sahara, karne ya 21 kijana mdogo anawaza kukimbilia kuzaa Ili mtoto aje kumsaidia Na Kula matunda... Madhara yake mtoto badala afikirie future yake anaanza kubebeshwa mizigo
Hahah aisee wazazi wa kiafrica ndo mawazo yao hayo,nilidhani pengine sababu wazazi wa miaka hio sababu hawakua na elimu ndo walikua wanazaa kwa staili hio.

Ila nimekuja kushangaa hata jamii yetu ya vijana waliosoma mtindo wa uzaaji ni ule ule tu.
 
Kaoa akiwa mkubwa sana. Mimi kipindi nikiwa kidato cha kwanza yeye alikuwa kijana mkubwa kabisa. Nimekua nimeoa yeye ndo amekuja kuoa.

Hongera zake.
Hey kila myu anaoa kivyake huyo kabla hajaoa kawowa sana tu kwa hiyo anafanya closer ya utundu tu usikute ana mtoto mkubwa kama wewe
 
Mangi.

Hayo maswali yako ni ya mtu anayejua umuhimu wa critical thinking na individuality.

Kwetu unaweza kukuta mtu kamaliza chuo kikuu hajui umuhimu wa hayo.

Sehemu ya ku apply critical thinking na individuality ata apply herd mentality, borg like existence na formulaic lazyness.

Ndiyo maana mtu anamaliza Ph.D lakini ukimsikiliza unajiuliza, hivi huyu Ph.D kaioataje kwa mawazo haya mna mpangilio huu wa kujieleza?
Mimi nishawaroa akili watu karibu wote wenye PhD hapa bongo. Zamani nilikua natamani kua na PhD lakini baadae nikaja kughaili baada ya kuona PhD wa Bongo wasivyo na akili nikaona watu wenye akili watakuja kunijumuisha na mimi.
 
Kuna vitu watu hukosea sana, na hii husababishwa na kurithi utamaduni, huku tukiendelea kuaminishwa lazima tuheshim tamaduni haijalishi uo utamaduni upoje.

Tuna shuhudia hata wenye elim kubwa tu, unakuta msichana anaelim yake kubwa lkn bado anajiona hana aman asipo olewa mapema. Na chazaidi anacho waza watu watamuonaje? wenzake wanaolewa yeye bado anachelewa na uoga wa umri kwenda.

Pamoja na kuwa na elim, lakini kukosa fursa ya kujichanganya na jamii tofauti, kukosa exposure na jamii tangu utotoni, kujifunza huru bado kunafanya vijana wasomi wengi kuishi ktk mfumo uleule unao fanana na ambao hawajasoma. Unashindwa kuona utofauti, cha zaidi labda utofauti utakuwa kwenye uchumi lkn kwenye social life hamna utofauti.

May be inachangiwa pia na kuzungukwa na Wajinga wengi kiasi kwamba unauzoea ujinga na kuwa sehem yao.

Lakini mimi naamini katika kuoa lzm uzingatie vifuatavyo

1. Kwanini unaoa? Je ni kwasababu watu wanaoa? Unataka tu upate watoto?

2. Upo tayari kuoa? (kukubali kubadilisha mfumo wa ubachela) upo tayari kukabiliana na changamoto za ndoa?

3. Unaweza mudu kuendesha familia? hali ya kiuchumi ipoje?

4. Umepata mtu sahihi? Umejihakikishia anakufaa? Umekubaliana na madhaifu yake na yako?

Kuishi kwa uoga ni hatari sana, yani utadhan una guarantee ya kuishi milelel hapa dunian.

Cha muhimu katika maisha ni kujitahidi kuitafuta furaha na aman, kuishi maisha unayoyataka.
Mangi.

Hoja safi sana.
 
Yaani ndo ume-prove umasikini wako wa akili. Dah! Tuna safari ndefu sana.
Na huo ndio umasikini mbaya kuliko umasikini wote.

Waswahili husema heri ukose mali upate akili. Sasa watu wengi hutamani mali kuliko akili.

Huyo jamaa anaumwa gonjwa baya sana la Upungufu wa Akili Mwilini.
 
acha uongo messi kaoa juzi tu.. etoo nae miaka kibao hajaoa.. rooney nae hajaoa..

wanasoka wanawahi kuishi na wanawake na kuzaaa nao na wanaoa watoto wao wakubwa wakubwa kabisa.. mfano beckham etc na karibu wote... wana wachumba tu na watoto mapema ila ndoa kabisa wanachelewa...

Una miaka 35+ haujaoa au haukiwai kuoa wewe unamatatizo ya kimaumbile au kisaikologia. Acha kujidanganya ndugu @ nyoka wa makengeza eti maskini ndio wanao oa mapema. Umri sahihi wa kijana rijali aliyepata malezi bora na mwenye heshima na busara huoa kati 25 to 30 year regardless pato lake. Ukizungumzia matajiri basi watazame wanasoka wanaolipwa mabilioni ya pesa wanaoa at 22+ , sijawai msikia mchezaji baada ya kustafu soka ndio anaoa mean at 35+ . please 35+ tuwaachie wagane na divorced kuoa.
 
Kaoa akiwa mkubwa sana. Mimi kipindi nikiwa kidato cha kwanza yeye alikuwa kijana mkubwa kabisa. Nimekua nimeoa yeye ndo amekuja kuoa.

Hongera zake.
Alikuwa anangoja afya iimarike
 
Back
Top Bottom