Mbunge wa Moshi Vijijini, Anthony Komu (CHADEMA) kuhamia NCCR-Mageuzi

Huruma ya Mbowe ndio imemfikisha alipo Komu , kura za maoni za 2015 aliambulia 17 dhidi ya 300 za Lucy Owenya .
Kumbe hii ndiyo ilikuwa sababu ya lucy kuhamia act. Wewe unaona hapo mbowe alitumia hekima au udikiteta. Kumbe huku nako huu mfumo upo eeh.
 
Komu kachemsha kiwango cha juu, bunge halijaisha bado unapata misuli ya kukinadi vibaya chama ulichoko. Hapo ndipo tunapowadharau wanasiasa walio wasomi hapa nchini mwetu. Afadhali Lusinde, Jay People, Kishimba na Musukuma pamoja udarasa la 7 wanajitambua kikamilifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anasahau pia kuwa watu wa Moshi vijijini walimpa heshima kwa sababu alikuwa CHADEMA. Angwaheshimu zaidi ama kwa kubaki huko bila kuwasema mabaya au kwa kuondoka na kuachia ubunge...ili heshoma yake iendelee kuonekana. Kinyume chake tinaona haya yote anayafanya kwa lmaslahi binafsi na siyo.kwa heshima ya wapiga kura wake.
 
CHADEMA wana takiwa kesho wamtimue. Maana kuebdelea kumruhusu kubaki Chadema, ni kumpa nafasi msaliti kupata siri za Chama. Hafai. Huyu ni Yuda msaliti hafai kukaa na kundi la wanafunzi waaminifu.. Aende sasa na sio baada ya bunge kuvunjwa. Go Komu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHADEMA wamuwahi wamtimulie mbali asipate hata yale mamilioni yamwisho amekosa nidhamu huyu!!
NCCR wasimpokee anataka kuwatumia kama kadaraja akuibukie Ccm!!
CCM wasimpokee hana jipya na anajua hata akigombea atakula mweleka!!
Atafute kazi nyingine ya kufanya nivema akajiajiri sio lazima akomalie siasa maana hata haiwezei hajafanyaga lolote la maana
Chadema inabidi kijipange vizuri urais hatuwezi kuwapa lkn ubunge mbona tunawapigia kura wanashinda fresh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…