Mbunge wa Moshi Vijijini, Anthony Komu (CHADEMA) kuhamia NCCR-Mageuzi

Mbunge wa Moshi vijijini mh Komu amekosa imani na chama chake hivyo ameshapoteza " uhalali" wa kukitumikia chama hicho....tena ameshatanabaisha kuwa sasa anaamini katika Imani na Sera za Nccr mageuzi.

Komu angekuwa CCM kesho asubuhi na mapema angetimuliwa chamani lakini Chadema watamvumilia kama walivyofanya kwa Shibuda ili kulinda ruzuku isipungue kwa hii miezi mitatu iliyobaki kabla bunge halijavunjwa.

CCM kamwe haiwezi kumlea mtu aliyeikana IMANI ya chama hadharani tena mchana kweupe mbele ya waandishi wa habari.

Niendelee kuwatakia Kwaresma yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Atapewa na wananchi siyo twetter constituents
 
Style mpya siku hizi ni ya kuhamia nccr paymaster ni ccm baada ya kuunga juhudi kubuma yaani kicklesss.Swaiba wake kubenea nae anahamia lin kwa mbatia
 
Cdm chama LA wana wenye akili kubwa
Ccm inataabika sana na cdm
Mpaka jamaa yao analala juu ya mawe akiwaza ametumia mbinu zote za kuuwa upinzani zimebuma.Njia rahisi ya kuuwa upinzani ni kutatua shida za watz na sio kutwa kucha ni kumuwaza Mbowe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…