Mbunge wa Moshi Vijijini, Anthony Komu (CHADEMA) kuhamia NCCR-Mageuzi

Lowassa alihama lakini mke na familia walibaki CCM kiroho, na kimwili mpaka kitovuni walikuwa CCM. Mwissho nae akashindwa! 🤣🤣🤣
 
Chadema ni chama nguli, au babalao dola imefilisika ili kuiua cdm lakini kila kukicha chama kinaimarika,

wale waoga wa siasa wamezuia siasa kwa sababu ya cdm

Sheria nyingi zimetungwa kwa ajili ya cdm

Binge, mahakama polisi TISS, magereza wameelekezwa kuikandamiza na kuiua CDM,
Lakini Bado watatoboa

Mungu ibariki Chadema
 
Munaanza kufichua siri sasa?
Kumbe munadhulumu Watu (Lucy Owenya) haki yao ya kuongoza kwa kuwapa Watu (Komu) Nafasi za upendeleo bila ya kuchaguliwa kwenye kura za Maoni?

Miccm imekosa Demokrasia lakini kumbe na CDM hakuna Demokrasia.
Kachukue buki saba zako kwa mazezeta wa Lumumba, maana kidogo watadhani umejaribu kuwatetea

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tusidanganyane jamani, hao wapiga kura wapo wapi?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nccr ni njia panda ya kuelekea ccm, bado yuko safarini huyo.
 
Anasema ataendelea kuwa Mbunge hadi uchaguzi October 2020.Sasa ataendelea kuwa Mbunge kwa chama gani,wakati amekidharau chama kilichompa dhamana si angesema tu kwamba kuazia leo amehama na si mbunge tena, mbona anahama nusunusu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…