TANZIA Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye afariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Februari 10

Kwani ilikuwa ni ajali ya kimya kimya? Mtu mkubwa kama huyu apate ajali na isitangazwe! Basi News Room haikututendea haki
 
Hii ni nafasi kwa upinzani kudhibitisha kwa wananchi na jumuia za kimataifa kama waliibiwa kura au laa, kupitia hizi chaguzi za marudio majimboni. .
 
Duu! RIP mh Nditiye! Lakini habari za ajali na kifo cha mheshimiwa huyo zinazingua, kuna nyuzi mbili humuhumu Jf zilisema katika ajali alopata Mh. hapakuwa na majeruhi yoyote katika watu wote walohusika na ajali hiyo, sasa hiki kifo kimetoka wapi???
 
Hii ni nafasi kwa upinzani kudhibitisha kwa wananchi na jumuia za kimataifa kama waliibiwa kura au laa, kupitia hizi chaguzi za marudio majimboni. .
Kwa comment hii wewe ni kilaza square uchaguzi upi bila tume huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…