TANZIA Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye afariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Februari 10

TANZIA Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye afariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Februari 10

Eti bunge wameahirisha kwa siku moja,what they just dont know ni kwamba lazima iondoke na watu zaidi ya kumi humo ndani

They just dont know hiding makes them look even more silly

Na jinsi walivyo wazee,walivyo weak,walivyojaa ukimwi,etc...lazima wapunguke vya kutosha

Watafunga bunge kabisa....just wait....Ndugai atatoa sababu ya kijinga sana,utaona tu!
KGG.jpg
 
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mkoa wa Kigoma Ndugu Atashasta Nditiye alipata ajali ya gari juzi Alfajiri Dodoma.

Taarifa ni kuwa ametangulia mbele ya haki mapema leo.

Pumzika vema mzee Nditiye, mtu mwema.

Atashasta Justus Nditiye ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Muhambwe Kigoma kwa mwaka 2015 – 2020 na Mwaka 2020 - 2025. Kazaliwa Tarehe 17 Oktoba 1969

Spika Ndugai amesema Marehemu alipata ajali Feb. 10. 2021 Nanenane Dodoma na kupelekwa Hospitali ya Mkoa Dodoma na kuhamishiwa hospitali ya Benjamin Mkapa alikofariki Feb. 12. 2021, Nditiye pia aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Uchukuzi.
Kwani ilikuwa ni ajali ya kimya kimya? Mtu mkubwa kama huyu apate ajali na isitangazwe! Basi News Room haikututendea haki
 
Safari hii nchi yetu itarudia sana uchaguzi wa wabunge na madiwani, Corona kolabo na Makombora Ya Kienyeji.

Walio dhulumiwa haki zao za ushindi hawajatulia mpaka dakika hii, watu wanakesha kwa kina Sir Ngoma na Nyumba Za Ibada, mmoja mmoja watamchomoa.

Serikali ijipange kwa budget ya kurudia uchaguzi jimbo baada ya jimbo.

NB: Msemo mtakatifu wa kidini kwamba "Dhuluma haidumu, na ikidumu inaangamiza"
Hii ni nafasi kwa upinzani kudhibitisha kwa wananchi na jumuia za kimataifa kama waliibiwa kura au laa, kupitia hizi chaguzi za marudio majimboni. .
 
Duu! RIP mh Nditiye! Lakini habari za ajali na kifo cha mheshimiwa huyo zinazingua, kuna nyuzi mbili humuhumu Jf zilisema katika ajali alopata Mh. hapakuwa na majeruhi yoyote katika watu wote walohusika na ajali hiyo, sasa hiki kifo kimetoka wapi???
 
Hii ni nafasi kwa upinzani kudhibitisha kwa wananchi na jumuia za kimataifa kama waliibiwa kura au laa, kupitia hizi chaguzi za marudio majimboni. .
Kwa comment hii wewe ni kilaza square uchaguzi upi bila tume huru
 
Back
Top Bottom