Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

Kapata akili nusu,hajasema vifo ni vingapi
 
Kwa akili yako lazima kwenu kazimkazi,toto rojorojo
 
Hili suala linavyokwenda kuna kila dalili ya kwenda kuigharimu nafasi ya uwaziri mkuu kwa Mh Ka[emoji3513] jumba bovu linaweza kumuangukia wakati wowote ule.
Kassimu uwongo kazoea toka mdogo,ila jumba bovu litampata macho kumchuzi ndio kauza kama mwinyi alivyouza mwaka 1992
 
Watu baadhi yule mbibi wa bungeni alishatoa order wasakwe Sasa waanze na huyu
 
Hicho sio kigezo cha wao kuwa Watz, hao ni wahamiaji haramu tu
Wale Warudi wanatafuta fursa za ajira na biashara tofauti na wamasai wanaotumia silaha kuvunja sheria na kujimilikisha ardhi kila wanapopataka Wao. Hawataki kupangiwa na Serikali.
 
Serikali haiwezi kufidia Watu wasio na umiliki. Mali zao ni ngombe na hakuna MTU aliyezichukua. Hakuna Watu WENYE ardhi isiyo na mipaka.
Wamasai wangekua na vijiji vyao Kwa Nini wasiheshimu mipaka ya viiiji vyao? Hawa jamaa hawaheshimu kabisa Watu wengine na shughuli zao. Wanaangalia ngombe zao tu bila kujua Kuwa ngombe zinaweza kuishi Hata kama Wao Hawapo Duniani.

Wamasai ni wabaguzi sana , kabila lingine likitaka kufunga kwenye Maeneo yenye wamasai watapora ngombe zake,akitaka kulima wataingiza ngombe kuharibu mazao Tena Kwa nguvu na Hata kukata WATU mapanga.

Hawa wamasai Wanapaswa kupimiwa vijiji Ili nao wawe na ardhi zao kamili Tena ardhi binafsi zenye umiliki. Haya mambo ya kusema ardhi ya wamasai ndiyo yanayowapa kiburi Cha kuvunja sheria .

Na Kwa Sababu wameamua kuua Polisi na wanajeshi basi hao ni magaidi kama wale Wa Kibiti . Hakuna namna nyingine zaidi ya kuwalaza chini bila kujali idadi nchi iwe salama. Na uwe ni mwanzo Wa mabadiliko ya kimfumo Kwa hao washenzi wanaoishika Serikali sharubu Kwa Sababu ya ngombe zao za kienyaji zinazolishwa Kwa Neema za Mwenyezi Mungu Pekee.
 
Walikuwa wanaamini kuwa kupitisha sheria hatarishi ni kuikomoa chadema.

Sasa yanawageukia wao na hili inabidi liwe fundisho kuwa hakuna anaye ijua kesho yake.

Hebu twambie mkuu sheria gani kuhusu ngorongoro iliyopitishwa kwa hati ya dharura?
 
Hayo ndiyo maisha ya dunia ya tatu. Utu ni bidhaa adimu kwenye hii dunia ya tatu.
Mungu atusaide
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…